Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Wangeudhulia wote 54 ndo ingekuwaje?

Hilo nalo mnataka kushindana?
Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.
 
UK anapambana na Covid 19, BBI na yule mtukutu Ruto aliyeamua kuanza kampeni miaka 2 kabla ya uchaguzi.
 
Does what you said make Magufuli a democrat or less of a thief... Ama unaamini ktk kifo cha wengi ni harusi?
Mkuu hujui kuwa shetani hana rafiki wa milele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Be careful with JPM he does not beat around the bush! when he doesn't fancy u, remember a month back i said even Raila is no more a friend of JPM n many of u argued!
JPM hatakuwa rais milele. Tumeona wengi wakija na kuenda zao.
 
Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Wala si corona wala nini.

Uhuru hafanani nao. Waliohudhuria wote jiwe anafanana nao. "Iron fist."

"Birds with the same flock fly together!"

IMG_20201105_152408_100.jpg


Heko rais Uhuru. Wapo wengi hapa nchini wanao wapongeza wote ambao hawakuja.

Equally said, "waliokuja kama walikuwa hata na ka heshima kidogo bado, nako kamekwenda na maji."

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba JPM bado ana machungu kwa sababu rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta corona huku. JPM naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali corona kwa maombi pekee
JPM amempiga 3 bila so hana hamu naye, hasa akikumbuka SGR, HOSPITALS, AIRPORTS, PIPELINE, FREE EDUCATION, BRT, HIGH CLASS FLYOVERS, AGRICULTURE, INDUSTRIAL REVOLUTION, HAHAHAAA.
 
Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.
Only two dictators attended
 
Back
Top Bottom