Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Nape Nnauye ni wa kusini na Jenista Mhagama ni wa kusiniKusini ukiachana na Pm na yule Mzee ambae hajulikani Yuko Wizara gani sijui kama Kuna Waziri mwingine
Ok!Nape ni Mtama Lindi nilimsahau.Kikanda Nape yupo Kusini maana Lindi na Mtwara ni Pwani ya Kusini.Jenister nimemtaja Hapo huyo Kikanda hayupo Kusini yupo Nyanda za Juu Kusini maana anatokea Ruvuma Mbunge wa Songea vijijini.Nape Nnauye ni wa kusini na Jenista Mhagama ni wa kusini