Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
 
Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa yanga kila timu inaoenda na yeye yupo ?
Mpira wa Afrika inaongea Pesa. Anachofanya Hersi ni kuhakikisha yeye mwenyewe anafikisha mkwanja sahihi kwa walengwa. Ile kumpa Sijui Meneja wa timu au Mratibu wa Mashindano ndani ya Klabu huwa ni Ujanja ujanja hawazipeleki na mwishoe timu inapigwa figisu na waaamuzi inafungwa.
What Hersi is doing is CLOSE MANAGEMENT OF THE TEAM hakuna cha delegation wala nini na kwa mbinu hiyo UTOPOLO anaweza fika Fainali.
Hongera kwa Hersi kwa kudhibiti kupe na Viroboto wa mipango.
 
Kwa hyo yanga wanatoa rushwa si ndyo? Thibitisha kabla hatua Kali za kisheria sjachukua
 
Kwa hyo yanga wanatoa rushwa si ndyo? Thibitisha kabla hatua Kali za kisheria sjachukua
Wewe kiazi tu huna lolote.
Pesa matumizi yake ni Rushwa tuu.
Pesa inakodi basi zuri baada ya kukataa lile bovu.
Pesa inakodi hotel nzuri badala ya ile ya wenyeji?
Pesa inanunua vifaa vya dharula mchezoni. Hata rushwa ni poa tu ilimradi ucheze mziki unaopigwa.
 
Kwa hyo yanga wanatoa rushwa si ndyo? Thibitisha kabla hatua Kali za kisheria sjachukua
Embu soma mara mbili mbili uelewe alichokisema. Unasoma huku una wenge, jamaa kasema Hersi ana hakikisha matumizi ya fedha yanatumika bila kuwa na mianya ya watu katikati ni yeye mwenyewe ndiye anayehakikisha pesa imeenda mahali sahihi. Mfano posho, nauli, n k. Sio habari za pesa kupewa maneja wa timu au mtu wa kati mwisho wa siku hazifiki kwa walengwa. Na madhara yake wachezaji ni rahisi kurubunika kwasababu ya kutopata stahiki zao ama kutokea hujuma kwavile kuna gape kati wachezaji + benchi la ufundi na kiongozi mkuu. Hersi anafanya wachezaji na benchi la ufundi kama familia moja. Ni rahisi kunusa harufu ya jambo baya kwenye timu.
 
Unashangaa ya Rais, jana CEO wao ndiyo alikuwa anahangaika huku na huko kwenye masuala madogo mno nikajisemea hii ni timu au kikundi cha wahuni.
 
Unashangaa ya Rais, jana CEO wao ndiyo alikuwa anahangaika huku na huko kwenye masuala madogo mno nikajisemea hii ni timu au kikundi cha wahuni.
Ndio hiko hiko kikundi cha wahuni kilichoongoza timu msimu uliopita kuchukua kombe la Azam Federation na ligi kuu, na msimu huu ikiwa inaendelea kutetea mataji. Huku CAF wakiwa wamepiga hatua moja kucheza nusu fainali.
 
Back
Top Bottom