Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hersi ni muajiriwa wa GSM na Yanga ni mojawapo ya vitega uchumi via GSM.Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
Dah! Kwa heshima yako, sina budi na wewe kukutoa. Maana umeshika kwenye mpini.Nitoe hapo haraka
Hao uliowataja hawasafiri na timu kila mahali maana wana biashara nyingine za kusimamia ambayo ni kubwa kuliko hizo timu. Mathalani Florentino Perez ni CEO wa kampuni inaitwa Grupo ACS . Hii ni kampuni kubwa kuliko zote ya construction dunia nzima so huwezi kutegemea awe na muda wa kuambatana na timu km anavyofanya Hersi.Kamfuatilia Florentino PƩrez na Real Madrid yake
Ama Todd Boehly na Chelsea yake
Afu urudi usome tena uzi wako una maana gani
Sio kweli Abramovich alikuwa anahudhuria baadhi ya Mechi tu km ilivyo kwa Civil Engineer PerezDon Perez huwa anasafiri na Madrid all over the world kuwapa hamasa.
Same kwa Abrahamovic wakati yupo Chelsea.
Kusafiri na timu ni mapenzi yaliyotukuka.
Rais kutembea na timu ni sio issue kubwa labda kama unataka kuuzodoa ushindi wa Yanga.
Ulitaka atembee na wewe!Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?