Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
Ko ulitaka atembea na wewe mjinga sana.raisi anatembea na timu yake ndoa maana,nusu fainali iyooo
 
Viongozi wa yanga wengi wana njaa ya kufa mtu ukimtoa huyo dogo ambaye wanamuita raisi asipofanya hivyo na akijaribu kuiacha timu yake kidogo tu wanauza mechi VIONGOZI WA YANGA NJAA TUPU

so jamaa kama anailinda timu yake viongozi wasichukue rushwa na kuuza mechi akijitela kidogo tu wanauza mechi zilizo bakia na kombe wanalikosa la ligi

NJAA MBAYA SANA HASA HII NJAA YA VIONGOZI WA YANGA
 
[emoji23][emoji23][emoji23]...daah we jamaa bwana
 
Halafu wewe Luc Eyamel na Manara walikuitaje? Unabweka bweka kama Nyani tuu na weee ni pimbi tu maaana huna akili kichwani.
 
Mpira wa Afrika inaongea Pesa. Anachofanya Hersi ni kuhakikisha yeye mwenyewe anafikisha mkwanja sahihi kwa walengwa. Ile kumpa Sijui Meneja wa timu au Mratibu wa Mashindano ndani ya Klabu huwa ni Ujanja ujanja hawazipeleki na mwishoe timu inapigwa figisu na waaamuzi inafungwa.
What Hersi is doing is CLOSE MANAGEMENT OF THE TEAM hakuna cha delegation wala nini na kwa mbinu hiyo UTOPOLO anaweza fika Fainali.
Hongera kwa Hersi kwa kudhibiti kupe na Viroboto wa mipango.
Ona sasa huyu mbwiga.
 
Back
Top Bottom