Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Duh..
Mie nimekushangaa kweli. Nilidhani una bonge la hoja. Mwili unaenda na ndege. Inawezekana hata ukaagwa Kigoma tarehe tarehe 22 jioni na asubuhi zanzibar kisha aiku inayofuata ukaagwa Mbeya asubuhi na jioni ukaagwa Mwanza....
Otherwise kama ni ishu ya per diem uniambie zanzibar hawastahili kumuaga...
 
Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 bàdala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na watanzania walisha kata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Huyu kaanza kudanganywa mapema hivi..wapigaji watafaidi sana this time.
 
Wameleta complications zisizo za lazima. Nyerere tulimuaga kitaifa sehemu moja tu, ikatosha. Ingetosha kuaga DSM au Dodoma tu.

Au njia nyingine wausafirishe mwili kwa msafara wa magari kunzia Dar mpaka Chato.....tutasimama barabarani kupunga mikono kumuaga!?
 
Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Kuna Watu hapa JF mna Akili sana hadi nawapenda na Kunipa Raha kwa mnavyojua Kufikiri na Kujenga Hoja. Heko Ndugu nimekukubali.
 
Bongo ukiongoza na ukataka kumsikiliza kila mtu utayumba sana ndio maana jpm aliziba masikio ukiinua mdomo anakula kichwa anatulia, ndio maana tumeona madaraja, barabara, sgr, nk nk
 
Mama Samia suluhu awe makini sana na washauri wake, watatumia mwaya kumyumbisha na kuonekana "dhaifu!"
Kama kuna Comment nyingine yenye Akili na ya Kufikirisha zaidi ni hii yako Ndugu. Nimeipenda na Kuikubali pia. Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan awe Makini mno kwani anaweza akafanywa aonekane Kituko na wa hovyo kabisa.
 
Kwa sababu yakwako wewe haitabadilika mkuu kama unabisha faliki uone.(Acha shobo kwenye misiba ya watu)
 
Duh..
Mie nimekushangaa kweli. Nilidhani una bonge la hoja. Mwili unaenda na ndege. Inawezekana hata ukaagwa Kigoma tarehe tarehe 22 jioni na asubuhi zanzibar kisha aiku inayofuata ukaagwa Mbeya asubuhi na jioni ukaagwa Mwanza....
Pathetic.
 
Back
Top Bottom