Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Yajayo, yanafurahisha.
 
Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ( atokaye Zanzibar ) Kaapishwa leo mmeiweka.

Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya ( iliyobadilishwa ) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.

Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar ( nyuma ya Dodoma Kijiografia ) na baadae Mwanza?

Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?

Na kwanini hii ( hiyo ) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Waulize tume ya uchaguzi, wanadhani Chadema wamo.
 
Ni Kuchanganyikiwa au ni Upumbavu wa Waandaaji? Acheni kuwa Wanafiki tafadhali Upuuzi huu haukupaswa Kufanyika kwa Watu kutoka Ikulu na Wanaosaidiwa vyema Kiuratibu na Idara zetu Kuu ( Nyeti ) mbili za Ulinzi na Usalama.
kwn usalama na unyeti ndo makosa hayatokei..?
 
Mapungufu ya kawaida ya kibiadamu hayo hasa ktk jambo kubwa kama hili,unaweza msalimia asikusikie tumvumilie mama
Hata imani yake ya kidini pia haimtumi hivyo. Kiislam, hivi leo Magu angeshakuwa udongoni. ..

Anayekosea sio mama bali watendaji. MATAGA wamwache mama afanye kazi, wasianze kumwona anakosea.... aftaroo sio kazi ya Rais kusimamia misiba...
 
Mi nimeshangaa pia. Miili ya Nyerere na Mkapa haikupelekwa Zenji kuagwa. Na kuna sababu yoyote maalum ya kuaga miili?

Basi upelekwe Moshi pia wachaga wauage...
Na Mimi All - Rounder naomba uletwe hapa nchini Herzegovina nilipo Siku nyingi sana Kimakazi ( Kimaisha ) nami niuage peke yangu ndipo muupeleke huko Kwao Chato Mkoani Geita kwa Maziko.
 
Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ( atokaye Zanzibar ) Kaapishwa leo mmeiweka.

Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya ( iliyobadilishwa ) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.

Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar ( nyuma ya Dodoma Kijiografia ) na baadae Mwanza?

Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?

Na kwanini hii ( hiyo ) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Tupe kwanza iyo ratiba alaf nitakuja kukujibu kwanini imeenda dodoma then zanzibar
 
Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Izo mbona zinatokea tu mzee kwani wewe kusahau kwako ni baba mkwe
 
Yaan upungufu wa ratiba za mazishi ndio uone kuwa RAIS ana mapungufu makubwa? Mbona NYERERE HATA HUKO ZANZIBAR hakupelekwa. TUMSIFIE KIDOGO KWA UJASIRI HUO.
Yani wa bongo wana mihemko sana mkuu
 
Back
Top Bottom