Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Angalia na ww ulivyokurupuka hapa badala ya siku 14 umeandika 24 hizi ni common human error
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf kuna jinga moja hapo juu lina sema nyeeee nyeeee nyeeee hakunaga makosa utadhani Mungu shwain zake
 
Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ( atokaye Zanzibar ) Kaapishwa leo mmeiweka.

Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya ( iliyobadilishwa ) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.

Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar ( nyuma ya Dodoma Kijiografia ) na baadae Mwanza?

Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?

Na kwanini hii ( hiyo ) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
msimamia hii shughuli bado haja teuliwa na kuapishwa. Aliyepo tunalazimisha Tu kua ni yeye wakat katiba yasema si yeye.
Ngoja tuone ndani ya siku 14
 
Unamuita binadamu mwenzio shetani.....???
kwa hiyo avatar yako bila shaka nyie ndio miuza ngada iliyobinywa.....
cha muhimu ni kwamba yule aliyepora uchaguzi na kumpiga risasi 30 lissu amekufa halafu lissu bado anadunda.huwezi ukafanya upumbavu halafu upite hivi hivi
FB_IMG_1615464126808.jpeg
 
Bongo ukiongoza na ukataka kumsikiliza kila mtu utayumba sana ndio maana jpm aliziba masikio ukiinua mdomo anakula kichwa anatulia, ndio maana tumeona madaraja, barabara, sgr, nk nk
Kiko wapi sasa??? Mav.i kabisa wewe[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kama Wahuni walimficha Mama ambae ndie Makamu wa Raisi kuhusu kifo na walimficha hadi Waziri Mkuu malengo yao yalikuwa ni nini?
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa
By JPM
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]I 'll miss him
 
Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Mbona mambo ya kawaida sana. Ile ya siku 14 hadi 21 ilikua kabla ya kuapishwa.
 
Huyu kaanza kudanganywa mapema hivi..wapigaji watafaidi sana this time.
Mindset za kipuuz sana hizi. Jana BBC walihojiwa baadhi ya watu wa Zanzibar kuwa nao wapate fursa ya kumuaga Marehem Rais wetu. Sasa nafikiri Serikali ikaona kwa muktadha wa Muungano, hoja ina mashiko hivyo wamepeleka na ZNZ. Hii nadharia ya kila kinachofanyika ni upigaji ni nadharia ya kishamba sana.
 
Tuna Rais taaluma yake ni Clerk(karani)sijui kama yeye binafs hatakatiba aliwahi soma.mwisho na mwanzo alaumiwe hayati mkapa na mzee JAKAYA mRiSHo kikwete +CCM.
 
Back
Top Bottom