Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Usafi wake nini?? Vipi wale asilimia ndogo iliyobaki ambao sio waislamu wenye tamaduni za kuaga mnawafikiriaje??Safi sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usafi wake nini?? Vipi wale asilimia ndogo iliyobaki ambao sio waislamu wenye tamaduni za kuaga mnawafikiriaje??Safi sana mkuu
Dah kwel binaaadam tuko tofautiHata katika Upuuzi na Upumbavu Ndugu?
Anafanya rehearsal ya Ibada yake Chato.Gwajma mzee wa ufufuo na uzima yukwapi?
Huyu sio Sudan kusini apa karibu,wampeleke uko bolivia au visiwa vya Fiji,hadi kurud nyumban unajifikiria mara nne nne.Ndio maana huyu anatakiwa apewe ubalozi sudani kusini huko
Imebadilika mara ngapi Mkuu. Ni najua imebadilika mara mojaNilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Kwani kuna Kiwango cha Kupma Upuuzi?Imebadilika mara ngapi Mkuu. Ni najua imebadilika mara moja
Mwisho ndege iangukie huko baharini kila kitu kiishie huko sijui lile kaburi chato watamzika naniMapungufu ya kawaida ya kibiadamu hayo hasa ktk jambo kubwa kama hili,unaweza msalimia asikusikie tumvumilie mama
Watu wanataka kupiga pesa, utasikia msiba umegharimu trillioni 10, hii nchi hakishindikani kituNilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Shikaoo kaka Gentamycin mzee wa kuwakimbiza mapopomaKama kuna Comment nyingine yenye Akili na ya Kufikirisha zaidi ni hii yako Ndugu. Nimeipenda na Kuikubali pia. Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan awe Makini mno kwani anaweza akafanywa aonekane Kituko na wa hovyo kabisa.
Panga ya kwako au subiri mbowe afe upange ratiba uako kwa huyu hakuhusu pombi wewe.Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Zikwa wewew leo mchana saa nane jata azungushwe mwaka mzima inakuongezea nini au kukupunguzia nini?Ni upotevu wa muda tu. Mtu akishakufa amekufa ata azungushwe vipi hawezi kufufuka tena ilipaswa mazishi yafanyike hata leo saa nane mchana
Hili ni kosa la watu wa Itifaki, kati ya vitengo anavyopaswa kupiga chini baada ya mazishi ni hiki cha itifaki na cha hotuba.Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 14 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Mama hana tatizo, jopo linalomzunguka ni la ovyo haiwezekani kikao cha zaidi ya watu 100 kitoke na ratiba yenye matobo kiasi kile.Mapungufu ya kawaida ya kibiadamu hayo hasa ktk jambo kubwa kama hili,unaweza msalimia asikusikie tumvumilie mama
Ndege kanunua mwenyewe na huku mbeya wamlete tumwange.Wameleta complications zisizo za lazima. Nyerere tulimuaga kitaifa sehemu moja tu, ikatosha. Ingetosha kuaga DSM au Dodoma tu.
Au njia nyingine wausafirishe mwili kwa msafara wa magari kunzia Dar mpaka Chato.....tutasimama barabarani kupunga mikono kumuaga!?
Kawaida watu hufuata mwili kutoa heshima, mwili haufuati watu.Hii ya kuvusha maiti kisa kuaga ingepigwa marufuku..
Wazanzibar asimilia 98 waislam hawana tamaduni za kuaga mwili
Huko kwenye kuaga kuna kiingilio?