SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Watoto wa mjini wanasema "IMEISHA HIYO"!Hata wakiuzungusha nchi nzima aileta impact yoyote JPM kaondoka duniani haipo tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa mjini wanasema "IMEISHA HIYO"!Hata wakiuzungusha nchi nzima aileta impact yoyote JPM kaondoka duniani haipo tena.
😆😆Miruzi Mingi Hupoteza Mbwa
Hawastahili kuuaga, kwanza kwenye utawala wake ameenda Znz mara moja tu, maana yake hakuwajali na wao hawana haja ya kumuaga, na waislamu hawana tamaduni hizo za kuaga marehemu!. Wacha wafu wazikane wenyeweDuh..
Mie nimekushangaa kweli. Nilidhani una bonge la hoja. Mwili unaenda na ndege. Inawezekana hata ukaagwa Kigoma tarehe tarehe 22 jioni na asubuhi zanzibar kisha aiku inayofuata ukaagwa Mbeya asubuhi na jioni ukaagwa Mwanza....
Otherwise kama ni ishu ya per diem uniambie zanzibar hawastahili kumuaga...
Mwanzoni tuliambiwa maombolezo siku 14...Mara tena 21 ,kama vile namuona Mzee.wangu alivyokuwa akifanya vitu kwa logic ila tusilaumu sana vitu kama.hivi hutokea ni human error muhimu tumpumzishe Simba wa vita kwa itifaki na heshima zote...ndio kikubwaKwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 24 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Umenikumbusha awamu ya pili mama siti Mwinyi alikompeleka mzee Mwinyi kiuongozi, akaja mzee mkapa akakutana na mama anna mkapa, akaja JK akakutana na miruzi mingi kutoka kwà mama Salma. Kipindi hiki first gentle man tunatarajia nini?
Kumbuka huyu ni rais wa msibaKwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 14 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
Zanzibar ni kutapatapa tu. Wao hawana utamaduni wa kuaga wafu.Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Mwenyekiti Kamati ya Mazishi unamjua?Kwa siku mbili tangu kuapishwa kwake nimeona mapungufu manne-
1. Kutangaza siku za maombolezo ya Rais kuwa siku 14 badala ya siku 21
2. Akiwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri kupokea kalamu ya blue kusaini bàdala ya nyekundu
3. Ratiba ya mazishi kusahau kuingizwa Zanzibar, ili kuagwa
4. Kubadili tarehe ya mazishi kutoka tarehe 25 kwenda 26 na Watanzania walishakata tiketi kwenda Chato tarehe 25.
[emoji3][emoji3]Kwaiyo kwa akili zako unajua wanatumia bajaji kubeba huo mwili wake?
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
Unashangaa nini hapo kwani huo mwili unasafilishwa Kwa baiskeli au umaogopea matumizi ya mafuta.na ratiba ya Kwanza mbona alie kuwa makamu wa rais alitoa ratiba baada ya kuapishwa na akawa hakuiweka Zanzibar .Leo ndo imewekwa hio Zanzibar.Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
great thinkerHii ya kuvusha maiti kisa kuaga ingepigwa marufuku..
Wazanzibar asimilia 98 waislam hawana tamaduni za kuaga mwili
Jaman ,hatuko Iran,Saudi arabia,Iraq nadhan hatufungamanigreat thinker
Nakwambia Majaliwa kafeli sana, tangu ugonjwa hadi leo kwenye ratibaNilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka.
Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe 22 Mwili utakuwa Dodoma halafu tarehe 23 utakuwa Zanzibar na tarehe 24 utakuwa Mwanza.
Mlioipanga hii Ratiba Vichwani mwenu mko vizuri kweli? Yaani Mwili muutoe Dar es Salaam kisha muupeleke Dodoma halafu urudi Zanzibar (nyuma ya Dodoma Kijiografia) na baadae Mwanza?
Kwanini Mwili baada ya kuutoa Dar es Salaam kwasababu ya ukaribu wa Kijiografia usiende Zanzibar kisha ndiyo uende huko Dodoma, Mwanza na ukamalizie Kwao Chato Mkoani Geita?
Na kwanini hii (hiyo) Ratiba inabadilika mno? Mlishindwa nini tu Kujipanga na Kuipanga vyema ikaeleweka? Na nini kiliwafanya mwanzoni Wazanzibari mliwasahau Kuwajumuisha wakati nao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mlitusisitiza sana kuwa Marehemu atazikwa tarehe 25 na Ratiba yenu mpya ( mliyoibadili ) mnasema sasa atazikwa tarehe 26. Je, na Siku za Mapumziko nazo zimebaki zile zile Mbili au sasa baada ya Kuibadili tena Ratiba sasa kuna Siku ya Tatu ya Kupumzika / Mapumziko?
Safi sana mkuuHii ya kuvusha maiti kisa kuaga ingepigwa marufuku..