Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Ndio maana huyu anatakiwa apewe ubalozi sudani kusini huko
Huyu sio Sudan kusini apa karibu,wampeleke uko bolivia au visiwa vya Fiji,hadi kurud nyumban unajifikiria mara nne nne.
 
Imebadilika mara ngapi Mkuu. Ni najua imebadilika mara moja
 
Watu wanataka kupiga pesa, utasikia msiba umegharimu trillioni 10, hii nchi hakishindikani kitu
 
Kama kuna Comment nyingine yenye Akili na ya Kufikirisha zaidi ni hii yako Ndugu. Nimeipenda na Kuikubali pia. Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan awe Makini mno kwani anaweza akafanywa aonekane Kituko na wa hovyo kabisa.
Shikaoo kaka Gentamycin mzee wa kuwakimbiza mapopoma
 
Panga ya kwako au subiri mbowe afe upange ratiba uako kwa huyu hakuhusu pombi wewe.

Kila kitu kukosa hadi ratiba ya msiba mnachakufanya kweli zaidi ya majungu mitandaoni?
 
Ni upotevu wa muda tu. Mtu akishakufa amekufa ata azungushwe vipi hawezi kufufuka tena ilipaswa mazishi yafanyike hata leo saa nane mchana
Zikwa wewew leo mchana saa nane jata azungushwe mwaka mzima inakuongezea nini au kukupunguzia nini?
 
Hili ni kosa la watu wa Itifaki, kati ya vitengo anavyopaswa kupiga chini baada ya mazishi ni hiki cha itifaki na cha hotuba.
 
Mapungufu ya kawaida ya kibiadamu hayo hasa ktk jambo kubwa kama hili,unaweza msalimia asikusikie tumvumilie mama
Mama hana tatizo, jopo linalomzunguka ni la ovyo haiwezekani kikao cha zaidi ya watu 100 kitoke na ratiba yenye matobo kiasi kile.
 
Tunaomba ibadilike Tena JEMEDARI aje nyanda za juu kusini atuage (Mbeya), wasitufanyie hivyo

Tunamtaka RAISI WETU aje tumuage !
 
Ndege kanunua mwenyewe na huku mbeya wamlete tumwange.
 
Sababu tulizoea kuamuliwa kila kitu na mtu mmoja. Sasa Hivi kila mtu anajiona bosi.
 
Hii ya kuvusha maiti kisa kuaga ingepigwa marufuku..
Wazanzibar asimilia 98 waislam hawana tamaduni za kuaga mwili
Kawaida watu hufuata mwili kutoa heshima, mwili haufuati watu.

Wanemfanya Magufuli amekuwa kama a circus show inayotembezwa sehemu mbalimbali watu waangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…