Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Hapo alikuwa ameshastaafu. Hata JK alikuwa kanali wa JWTZ akastaafu kwa kuzingatia sheria ya vyama vingi ya 1992 iliyoondoa siasa kwenye majeshi, kwahiyo waliotaka kuendelea na siasa iliwapasa kustaafu kazi ya jeshi kwanza.
JK hakuwa Kanali
Alikuwa Luteni Kanali, halafu hakuwa Mwanajeshi Pasee, walikuwa walikiwa ni Waalimu wa Siasa Jeshini
 
Wewe binafsi tangu umejiunga Jf hizo like zimekusaidia nini?!
Siyo kunisaidia ,bali likes zinaonyesha angalao ninachoandika kina mashiko na Kuna watu wanakubaliana na mimi.

Mangi punguza ushabiki usiyo na tija.Jitafakari.
 
Hakupiga saluti, alitoa heshima ambayo mwanajeshi yoyote ambae hajavaa uniform anapaswa kuitoa.
yess!! wewe umeenda shule kiukweli mleta mada ni mtoto hata salute hajui.

Tuna kazi kubwa mbili
1. Tumfundishe maana ya salute..

Kivipi na kwa nini...wapi...nani..lini..


2 Maana ya kitendo alicho fanya Makongoro!! sasa hii ni kz kum-elimisha mtu km huyu.ndo hasara za utoro drsani na kukacha waalimu!!
 
Back
Top Bottom