Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK hakuwa KanaliHapo alikuwa ameshastaafu. Hata JK alikuwa kanali wa JWTZ akastaafu kwa kuzingatia sheria ya vyama vingi ya 1992 iliyoondoa siasa kwenye majeshi, kwahiyo waliotaka kuendelea na siasa iliwapasa kustaafu kazi ya jeshi kwanza.
Ninamkubali bila sababuAnafaa sn kwa kweli
Jeshini wanasema ALIKAZA TAKOAlibaba mikono na kunyanyua visigino mkuu
Narudia. JK alistaafu akiwa KanaliJK hakuwa Kanali
Alikuwa Luteni Kanali, halafu hakuwa Mwanajeshi Pasee, walikuwa walikiwa ni Waalimu wa Siasa Jeshini
Narudi kukwambia JK aliondoka Jeshini akiwa Lieutenant ColonelNarudia. JK alistaafu akiwa Kanali
Ni mwanajeshi mstaafu sii wa akibaMakongoro ni mwanajeshi wa akiba.
Alipigana vita vya Kagera!
Huyo anabisha tu,lkn uko sahihi.Narudi kukwambia JK aliondoka Jeshini akiwa Lieutenant Colonel
Kinana ndio alikuwa Colonel
Mwanajeshi huwa hastaafu vita ikiibuka anarudi kazini!Ni mwanajeshi mstaafu sii wa akiba
Samahani ulikuwa unajua kuwa Makongiro ni mwanajeshi!!?? Unajua maana yake hiyo salute/salamu!!
Andika kwa upeo siyo unakurupuka unaandika km unasombwa na maji. Mangi vipi?Mwanajeshi huwa hastaafu vita ikiibuka anarudi kazini!
Hivi unajisikiaje,unapost humu kutwa nzima upo halafu ni nadra hakuna ''like'' hata moja. Hujitafakari!! Nimewaza tu!Utendaji kazi.
Hapo Ufipa hakuna mwenye cv iliyotukuka kama ya Makongoro!
Wewe binafsi tangu umejiunga Jf hizo like zimekusaidia nini?!Hivi unajisikiaje,unapost humu kutwa nzima upo halafu ni nadra hakuna ''like'' hata moja. Hujitafakari!! Nimewaza tu!
Cv kutukana ni kufanywajeUtendaji kazi.
Hapo Ufipa hakuna mwenye cv iliyotukuka kama ya Makongoro!
Waulize Halima Mdee na Esther Bulaya ambao ndio pekee hapo Ufipa walienda jeshini japo ni JKT!Andika kwa upeo siyo unakurupuka unaandika km unasombwa na maji. Mangi vipi?
Siyo kunisaidia ,bali likes zinaonyesha angalao ninachoandika kina mashiko na Kuna watu wanakubaliana na mimi.Wewe binafsi tangu umejiunga Jf hizo like zimekusaidia nini?!
yess!! wewe umeenda shule kiukweli mleta mada ni mtoto hata salute hajui.Hakupiga saluti, alitoa heshima ambayo mwanajeshi yoyote ambae hajavaa uniform anapaswa kuitoa.
Au wewe ndiyo chizi[emoji16]Sa mbona anajifanyaga chizi au mi ndio huwa simuelewi