Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Yaani Nyerere ana watoto wengi lakini wote madish kuyumba
 
Anapigaje salute bila sare na kofia ya kijeshi, unapopiga salute ni sharti uwe na kofia, usipokuwa na kofia unatakiwa kubana mikono
labda sikuhizi afande,zimegawanywa zipo salute heshima zakisiasa na heshima za kijeshi
 
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi?

Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
Huyo ni retired army officer
 
Back
Top Bottom