Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma?
Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida kutokana na biashara anazofanya!?
Lakini kama ni fedha za umma jee Kwa nini wakuu wa mikoa mwingine hawaonekani kuwa na ukwasi kama wake!??
Au wakuu wa mikoa mingine huwa hawataki kutumia pesa zilizotemgwa kwa ajili ya kuwagawia wananchi kwenye mikoa wanayoingoza!?