Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.

Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma??

Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida kutokana na biashara anazofanya!?

Lakini kama ni fedha za umma jee Kwa nini wakuu wa mikoa mwingine hawaonekani kuwa na ukwasi kama wake!??

Au wakuu wa mikoa mingine huwa hawataki kutumia pesa zilizotemgwa kwa ajili ya kuwagawia wananchi kwenye mikoa wanayoingoza!?
We unajuajw pesa zake
 
Wengi wetu tunatamani tungepata mkuu wa mkoa kama Makonda,ila ndo hivyo stress tupu,kwanza mkoa wangu unaweza kosa kujua mkuu wa Mkoa ni nani hadi anaondoka.
Mbunge ndio kabisaa hata jimboni kuonekana ni shida.
 
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.

Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma??

Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida kutokana na biashara anazofanya!?

Lakini kama ni fedha za umma jee Kwa nini wakuu wa mikoa mwingine hawaonekani kuwa na ukwasi kama wake!??

Au wakuu wa mikoa mingine huwa hawataki kutumia pesa zilizotemgwa kwa ajili ya kuwagawia wananchi kwenye mikoa wanayoingoza!?
Makonda ni mhalifu aliyecheleweshwa kupanda kizimbani, lakini atapanda tu na ndoo ya gereza atanyea.

Siku hazigandi. Mwaka 2030 Samia akitoka lazima Makonda aisome namba iwe ni Serikali ya CCM au UPINZANI.
 
. Acha kupiga makelele, unatuumiza masikio,

. Huo uhalifu mbona hautaji??, Na ni ukwasi wa kiasi gani alionao makonda ??

. Acha kubeba kila kitu kinachoongelewa kwenye vijiwe vya kahawa. Utaonekana mtu wa maana sana.
Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.

Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma??

Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida kutokana na biashara anazofanya!?

Lakini kama ni fedha za umma jee Kwa nini wakuu wa mikoa mwingine hawaonekani kuwa na ukwasi kama wake!??

Au wakuu wa mikoa mingine huwa hawataki kutumia pesa zilizotemgwa kwa ajili ya kuwagawia wananchi kwenye mikoa wanayoingoza!?
WE pelekwa Dar,mwanza,arusha na mbeya ukikosa pesa basi wewe jinga
 
Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Hizo story umetoa wapi??, tupe source na sisi tuone kama ni kweli unachozungumzia..
 
Naona CHADEMA mnaendelea kuhangaika na kuteswa na Nyota kali ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara, Field Marshal ambaye Nyota yake imeiangazia kanda ya kaskazini nzima na kuleta nuru na matumaini katika mioyo ya watanzania.

Mmejitahidi kumchafua Mwamba lakini Mmegonga Mwamba na kuishia kupoteana kama moshi hewani. Na bado maana ndio kwanza hata mwaka bado hajamaliza huko kaskazini.akimaliza mwaka Huyu Mwamba nawahakikishieni ya kuwa tutawatafuta CHADEMA kwa tochi.
Mkuu,uandishi wako umefanana sana na uandishi wa marehemu Lemutuz.

😀
 
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.

Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma??

Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida kutokana na biashara anazofanya!?

Lakini kama ni fedha za umma jee Kwa nini wakuu wa mikoa mwingine hawaonekani kuwa na ukwasi kama wake!??

Au wakuu wa mikoa mingine huwa hawataki kutumia pesa zilizotemgwa kwa ajili ya kuwagawia wananchi kwenye mikoa wanayoingoza!?
Kama umefuatilia huwa anachangisha. Hata hivyo kiongozi kusumbuliwa na hela ndogondogo milion hizi ziko ndani ya uwezo wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Hilo halikwepeki.rule no 1.never outshine the master.
Swal linalotumiza kichwa,yule dada mkavu ameanza vita huko x,na jitu lenye ujasir wa japo kupambana na limangeo ni limakonda,wote wengine waoga,sasa ngoma inakua ngumu.
Never out shine your master...ila Kuna Murphy Law and Makonda storming conditions. Hizi zinaenda sambamba.
Kama mtu amemua kufuga jini kwenye chupa, jini likikuwa na kutoka nje itakuwa shauri ya nani?
 
Kama umefuatilia huwa anachangisha. Hata hivyo kiongozi kusumbuliwa na hela ndogondogo milion hizi ziko ndani ya uwezo wake.
Unapomchangisha Mfanyabiashara lazima kuna kitu utakuja mlipa kwa njia ya CORRUPTION.

Haya ndiyo maeneo TAKUKURU wanapashwa waanzie kujiuliza kuwa kwa nini Mfanyabiashara akubali kuchanga? Kwa kizungu inaitwa "red flag"
 
Nje ya maada,

hiviii unajua ukitaka uchumi wako wa magendo usikalakashwe ni vyema ukachukua kadi ya chama pamoja na kutoa misaada ndani ya chama!?

Naaa kaaaaama una gari ni vyema ukaning'iniza sticker za chama pale mbele, traffic akikusimamisha ukakubari makosa yote Kisha ukamwambia lakini nawai afande,yeye atakuachia

Kwa ufupi kuwa ndani ya chama ni kama kukatia bima makosa yote utakayofanya siku za usoni,

Chama oyeeeee

Masikini nchi yangu, naumia
 
Back
Top Bottom