Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

We unajuajw pesa zake
 
Wengi wetu tunatamani tungepata mkuu wa mkoa kama Makonda,ila ndo hivyo stress tupu,kwanza mkoa wangu unaweza kosa kujua mkuu wa Mkoa ni nani hadi anaondoka.
Mbunge ndio kabisaa hata jimboni kuonekana ni shida.
 
Makonda ni mhalifu aliyecheleweshwa kupanda kizimbani, lakini atapanda tu na ndoo ya gereza atanyea.

Siku hazigandi. Mwaka 2030 Samia akitoka lazima Makonda aisome namba iwe ni Serikali ya CCM au UPINZANI.
 
. Acha kupiga makelele, unatuumiza masikio,

. Huo uhalifu mbona hautaji??, Na ni ukwasi wa kiasi gani alionao makonda ??

. Acha kubeba kila kitu kinachoongelewa kwenye vijiwe vya kahawa. Utaonekana mtu wa maana sana.
Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
WE pelekwa Dar,mwanza,arusha na mbeya ukikosa pesa basi wewe jinga
 
Hizo story umetoa wapi??, tupe source na sisi tuone kama ni kweli unachozungumzia..
 
Mkuu,uandishi wako umefanana sana na uandishi wa marehemu Lemutuz.

😀
 
Kama umefuatilia huwa anachangisha. Hata hivyo kiongozi kusumbuliwa na hela ndogondogo milion hizi ziko ndani ya uwezo wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Hilo halikwepeki.rule no 1.never outshine the master.
Swal linalotumiza kichwa,yule dada mkavu ameanza vita huko x,na jitu lenye ujasir wa japo kupambana na limangeo ni limakonda,wote wengine waoga,sasa ngoma inakua ngumu.
Never out shine your master...ila Kuna Murphy Law and Makonda storming conditions. Hizi zinaenda sambamba.
Kama mtu amemua kufuga jini kwenye chupa, jini likikuwa na kutoka nje itakuwa shauri ya nani?
 
Kama umefuatilia huwa anachangisha. Hata hivyo kiongozi kusumbuliwa na hela ndogondogo milion hizi ziko ndani ya uwezo wake.
Unapomchangisha Mfanyabiashara lazima kuna kitu utakuja mlipa kwa njia ya CORRUPTION.

Haya ndiyo maeneo TAKUKURU wanapashwa waanzie kujiuliza kuwa kwa nini Mfanyabiashara akubali kuchanga? Kwa kizungu inaitwa "red flag"
 
Nje ya maada,

hiviii unajua ukitaka uchumi wako wa magendo usikalakashwe ni vyema ukachukua kadi ya chama pamoja na kutoa misaada ndani ya chama!?

Naaa kaaaaama una gari ni vyema ukaning'iniza sticker za chama pale mbele, traffic akikusimamisha ukakubari makosa yote Kisha ukamwambia lakini nawai afande,yeye atakuachia

Kwa ufupi kuwa ndani ya chama ni kama kukatia bima makosa yote utakayofanya siku za usoni,



Chama oyeeeee

Masikini nchi yangu, naumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…