Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

Tuliza makalio, subiri siku ya siku. Omna Mungu akupe uhai. Huyu bazazi kitu pekee kutakacho muepusha na jela ni kifo tu kabla ya awamu ya 6 haijatoka madarakani
. Sasa mbona unaishia kutukana??
πŸ€”,

. Ndo kusema hoja umeishiwa au??
 
Convincing power na ushawishi wa MAKONDA ni mkubwa sana, anao wadau wengi huwafika na wanapesa nyingi sana hazina matumizi, hivyo huwafika na kuwaeleza malengo na nia yake kwa jamii, wadau hao wengi humuelewa na kumchangia.

Za kuambiwa changanya na zako
 
Aisee. "Wana pesa nyingi Sana hazina matumizi..." Mwisho wa kunukuu!!
 
Makonda ni mhalifu aliyecheleweshwa kupanda kizimbani, lakini atapanda tu na ndoo ya gereza atanyea.

Siku hazigandi. Mwaka 2030 Samia akitoka lazima Makonda aisome namba iwe ni Serikali ya CCM au UPINZANI.
Siasa za kitoto hizi. Wewe unaamini alivamia kweli? Wale clouds walim snitch. Na sasa hivi wanajipendekeza kumpa coverage.
 
Natamani gwaji boy aulizwe jina la mkuu wa mkoa wa arusha anaitwa nani
 
Siasa za kitoto hizi. Wewe unaamini alivamia kweli? Wale clouds walim snitch. Na sasa hivi wanajipendekeza kumpa coverage.
Kichwa chako ni mzigo kwenye kiwikiwili. Bora ungezaliwa headless
 
Huyu Makonda alipora nyumba na fedha za watu alipokuwa RC wa Dar
 
Mbona mm ni mkereketwa wa Chadema namkubali makonda, usilete siasa kwenye uongozi unaosikiliza matatizo ya wananchi, Uongozi ni karama, uongozi ni kujiongeza, uongozi ni ubunifu, Makonda vyote anavyo, RC's wengi nchini hawana karama ya uongozi bali wamepewa uongozi kwa nguvu ya chama, hivi jifikirie Rais wa nchi anakuwa Makonda PM anakuwa mtaka, Tundu Lissu waziri wa Sheria, baada ya miaka mitano inchi itakuwa wapi? Nchi yetu sio masikini ni vile tu hatupati viongozi madhubuti kama kina Magufuli....
 
DAB ni jizi. liliiba sana kipindi cha Jiwe. pia ma-tycoon wa unga walimpenyeshea sana rupia kipindi cha Ile operesheni uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…