Optimist_Tz JF-Expert Member Joined Jan 11, 2024 Posts 1,543 Reaction score 1,860 Feb 8, 2025 #61 Na juzi kati alisema yeye mshahara wake wote huwa anaupeleka kanisani, Werevu wakaanza kujiuliza kwa hiyo anaishije na familia ?
Na juzi kati alisema yeye mshahara wake wote huwa anaupeleka kanisani, Werevu wakaanza kujiuliza kwa hiyo anaishije na familia ?
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Feb 8, 2025 #62 kakolo said: Siasa za kitoto hizi. Wewe unaamini alivamia kweli? Wale clouds walim snitch. Na sasa hivi wanajipendekeza kumpa coverage. Click to expand... Mpumbavu huwa hajijui ila wengine woye humuona na upumbavu wako. Kama unaamini kuwa Makonda hakuvamia Clouds basi una akili ya sawa ma mende
kakolo said: Siasa za kitoto hizi. Wewe unaamini alivamia kweli? Wale clouds walim snitch. Na sasa hivi wanajipendekeza kumpa coverage. Click to expand... Mpumbavu huwa hajijui ila wengine woye humuona na upumbavu wako. Kama unaamini kuwa Makonda hakuvamia Clouds basi una akili ya sawa ma mende
mwanamichakato JF-Expert Member Joined Mar 20, 2015 Posts 1,188 Reaction score 1,090 Feb 8, 2025 #63 ..
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Feb 8, 2025 #64 mwanamichakato said: .. Click to expand... Unasemaa?!?