Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,902
Mjanja M1 leo nilikuwa nasikiliza matangazo ya DW kupitia RFA.
Kuna mchambuzi wa siasa alikuwa anaelezea mambo sio yanayofanyika Kwenye chaguzi nchini lakini ghafra bin Vu! RFA wakakatisha matangazo ya DW na kuweka vitu vyengine ilhali muda wa matangazo bado hujaisha.
Hii sio mara ya kwanza ninaposikiliza taarifa ya Habari kutoka DW kupitia RFA kukatishwa na kuwekwa mambo mengine.
Je sababu nini?