Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Mkuu tuende Sasa Kwa saidooWewe Jamaa sijui akili zako huwa zinaenda wapi.Aliwafunga Zalan hatua ya awali, hatua ambayo hata ufunge goli 1000 hakuna anaeshtuka halafu Wewe unataka tuyahesabu mbaya zaidi Zalan ni Rhino rangers ya sudani.
Unadhani haya magoli sio ya mchongo [emoji1]