Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

Kwa nini Mayele alishindwa kuwapeleka Yanga Klabu Bingwa?

Ukiishajua maana ya klabu bingwa, utajua kwa nini
Kwanini mwakarobo kila siku ni wasindikizaji bora wa CAFCL? ukishaelewa hakunaga bahasha wala ushirikina wa kuwasha moto basi hupaswi kuendelea kuteseka kuwa Makolokolo FC, hamia Yanga FC Mabingwa kila siku upate raha

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?

Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions

NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Huwa uto siwaelewi kabisa, mambo yenu mengi mnayafanya bila maarifa ya kutosha. Sasa Kibu Mkandaji na wenzake wapo kwenye Porsche Convertible, kina Mayele wako kwenye daladala halafu hii inatakiwa iwe dhihaka kwa Simba?
 
Jiulize pia kwann mayele alishindwa kuwafanya muingie angalau makundi ya cafcl.
 
Huwa uto siwaelewi kabisa, mambo yenu mengi mnayafanya bila maarifa ya kutosha. Sasa Kibu Mkandaji na wenzake wapo kwenye Porsche Convertible, kina Mayele wako kwenye daladala halafu hii inatakiwa iwe dhihaka kwa Simba?
Mmoja yupo juu
 
Mashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.

Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.

Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.

Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
Kwa kifupi Klabu Bingwa ni kombe la mabingwa na Kombe la shirikisho ni kombe la washirika... Hata IHEFu, NAMUNGO wanaruhusiwa kushiriki
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?

Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions

NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Mayele lini kaisaidia yanga club bingwa?
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?

Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions

NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Kwa sababu champions leage ni kugumu kuliko shirikisho, huyo mayele kashindwa kuiokoa timu yake kuingia hata makundi tu champions leage
 
Kwa hiyo wewe ukiishi floor ya 6 kwenye ghorofa Keko utamcheka anayeishi kwenye mjengo wa maana unaojitegemea kule Ununio?
Yaaaah kama kama gharama ya kuishi ghorofani ni kubwa kuliko ya kuishi kule keko kidimbwi
 
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?

Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions

NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548

Unajua unachoongea? Hizi Ruvuma shooting sijui na Police ni team za kufungwa tu, sio wale wanaume. Ni sawa na Ndada cup.
 
Kwa kifupi Klabu Bingwa ni kombe la mabingwa na Kombe la shirikisho ni kombe la washirika... Hata IHEFu, NAMUNGO wanaruhusiwa kushiriki
Sasa kolo ana ubingwa Gani......labda kuwafunga ... horoya
 
Back
Top Bottom