Mkuu tuende Sasa Kwa saidooWewe Jamaa sijui akili zako huwa zinaenda wapi.Aliwafunga Zalan hatua ya awali, hatua ambayo hata ufunge goli 1000 hakuna anaeshtuka halafu Wewe unataka tuyahesabu mbaya zaidi Zalan ni Rhino rangers ya sudani.
Duh.! Kweli Yanga wenye akili ni wawili tuYaaaah bosi.....ni kama Yale ya penalty Kwa saidoo..... Ligue kuu
Club bingwa ya nyauSwali zuri
Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa
Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Club bingwa hana hata goal moja. Alishindwa ku qualify baada ya kutolewa na al hilalSwali zuri
Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa
Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Kwa hiyo unaamini ya Mayele hakuna offside marefa wenyewe hawa akina Kayoko?Mkuu tuende Sasa Kwa saidoo
Unadhani haya magoli sio ya mchongo [emoji1]
Ila kuna offsideKwa mayele hakuna bahasha
Kwani simba ilitolewaje Caf champions league na ilitolewa na team gani?Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?
Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions
NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548