Kwanini mwakarobo kila siku ni wasindikizaji bora wa CAFCL? ukishaelewa hakunaga bahasha wala ushirikina wa kuwasha moto basi hupaswi kuendelea kuteseka kuwa Makolokolo FC, hamia Yanga FC Mabingwa kila siku upate rahaKwa nini Mayele alishindwa kuwapeleka Yanga Klabu Bingwa?
Ukiishajua maana ya klabu bingwa, utajua kwa nini
Huwa uto siwaelewi kabisa, mambo yenu mengi mnayafanya bila maarifa ya kutosha. Sasa Kibu Mkandaji na wenzake wapo kwenye Porsche Convertible, kina Mayele wako kwenye daladala halafu hii inatakiwa iwe dhihaka kwa Simba?Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?
Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions
NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Mmoja yupo juuHuwa uto siwaelewi kabisa, mambo yenu mengi mnayafanya bila maarifa ya kutosha. Sasa Kibu Mkandaji na wenzake wapo kwenye Porsche Convertible, kina Mayele wako kwenye daladala halafu hii inatakiwa iwe dhihaka kwa Simba?
Kwa hiyo wewe ukiishi floor ya 6 kwenye ghorofa Keko utamcheka anayeishi kwenye mjengo wa maana unaojitegemea kule Ununio?Mmoja yupo juu
Kwa kifupi Klabu Bingwa ni kombe la mabingwa na Kombe la shirikisho ni kombe la washirika... Hata IHEFu, NAMUNGO wanaruhusiwa kushirikiMashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.
Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.
Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.
Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
Post picha ya kiatu nikupe 100k.Lkn tumefika final ......na mwamba kabeba kiatu
Mayele lini kaisaidia yanga club bingwa?Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?
Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions
NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Kwa sababu champions leage ni kugumu kuliko shirikisho, huyo mayele kashindwa kuiokoa timu yake kuingia hata makundi tu champions leageNadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?
Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions
NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions?
Point of reference: Mayele kaiokoa Yanga kubeba ubingwa na pale mjini CAF champions
NB: Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua[emoji23]
View attachment 2651548