Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

Mshangazi tusaidie kujibu swali basi.
 
Hawa mashangazi kipindi wakiwa mabinti mara nyingi huwa wanakua viburi, kutokana na kupata attention kutoka kwa wanaume wengi.

Sasa umri unaposonga mambo hubadilika taratiiibu unakuta tena ile attention kutoka kwa wanaume halisi inaanza kupungua, wale waliomtongoza enzi za ubinti wamuoe aliwakataa.

Anapofikia umri fulani kila akifosi apate mwanaume wa maana inakua ni too late, hapo sasa ndio anaamua kukimbilia kwa hivi vitoto, na kwa kuwa hivi vitoto mara nyingi huwa bado vinajitafuta kiuchumi huwa vinakua easy target.

Na akishakipata anakifanya sex toy(walking dildo) kwa ujira wa vipesa na vizawadi vidogo vidogo akiwa anajaribu kuitafuta furaha kitu ambacho hawezi kufanya kwa real men ambao nao tayari umri umeshasogea,wameshajipata na kuna uwezekano kabisa wameshaoa
 
Picha imenifurahisha, gen Z anataka kunyenyua mzigo😁😁😜.

Lakini kuhusu stori zako bwana naona unatusumbua tu.

Aidha ulishakula mzigo zamani, halafu unakuja kujifurahisha tu na kutusanifu kutaka mawazo yetu.

Tukubali ama tukukataze kwako wewe na hawara yako ni cheko tu.

Tena wale wenye mawazo ya kihafidhina ndiyo utawananga sana ukiwa na huyo mshangazi wako kakubeba juu ya kifua chake huku ukililia kufunga goli la mkono.

Vijana wa siku hizi wabaya sana nyie, maana hamna uoga.
 
Hii ni fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…