Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?

Moja kwa moja kwenye mada
Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu kiumri like kama 8 years.

Nikamhudumia shida yake ya kiofisi fresh kabisa na mwisho akaomba namba kwa kuwa kulikuwa na vitu napaswa kumsaidia ili kukamilisha shida yake.

Baadae alinicheki nikamsaidia ishu siku hiyo hiyo na ikawa imesha. Lakini chaajabu ni kuwa dada huyu hakuacha kunipigia simu. Aliendelea kunicheki kila muda na kuniuliza vimaswali vya hapa na pale ananiuliza. Mara umekula, unakaa na nani? Yule dada niliyemkuta wote ofsini ni nani yako nk nk. Mwisho kabisa baada ya kuchati sana usiku nikamwambia mie nalala. Akaniambia anaomba anipigie. Nikamjibu just call me. Akapanda hewani. Ofcourse tuliongea mengi anikisifu kuwa kumsaidia. Mwisho akaniuliza huna cha kuniambia nikamjibu sina. Baada ya kukata simu akanitext kuwa yuko pekee yake chumbani hana kampani na anakunywa savana na zinampelekesha mno.

As man niliyekamilika na ninasikia stori za wadada na savana zinavyowafanya nikajikuta nababaika nijibu nini. Ikabidi nijifanye sijui kwa kuumuliza hiyo savana inamfanyaje?
hakuchelewa akajibu inampa ny**e.. ewaaaah daa wakuu damu yangu ikachemka mno.

Ikafuatiwa sms kuwa ananipenda. Kiufupi tulichati mno mpaka usiku mrefu full kuny***shana. Mapaka sasa nimeshindwa kuamua. Niwe na msimamo upi. Natami kutafuna sababu daa kuacha mtu amenililia vilf ni mbaya. Upande mwingine nina girlfriend wangu na hana nyama nyingi km huu mshangazi. Nikiweks kwenye mzani my girlfriend hafiki hata robo.

Kiukweli naogopa hii ni mara ya tatu ofsini natongozwa na mishangazi. Nashindwa kuelewa nifanye nini? Nimejaribu kuuliza kwanini kaniona mimi kati ya wanaume wengi ambao tuko ofsini akajibu ohh we ni mpole na una ustaarabu mno. Kila atakayehudumiwa na wewe atafurahi tu

Nishaurini maana anasumbua mno
Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?
Kijana kuwa makini.. mashangazi yanapenda vijana ili kutimiza haja zao cha kimwili. Suala hili kwa sasa limekuwa likipigiwa chapuo hadi na media ndiò mana linonekana la kawaida. Chunga mkuù Mashangazi mengi yanaumwa. Tengeneza kanuni na sheria kuhusu maisha yako ya ngono na mahusiano zitakazokuongoza kulinda maisha yako....maisha ni matamu sana ukiwa na afya njema.
 
Ungeweka na location ya ofisi yako iliko, ili wateja hao mashangazi waje wengi na kwa wingi.

Tangazo halijakamilika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?

Moja kwa moja kwenye mada
Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu kiumri like kama 8 years.

Nikamhudumia shida yake ya kiofisi fresh kabisa na mwisho akaomba namba kwa kuwa kulikuwa na vitu napaswa kumsaidia ili kukamilisha shida yake.

Baadae alinicheki nikamsaidia ishu siku hiyo hiyo na ikawa imesha. Lakini chaajabu ni kuwa dada huyu hakuacha kunipigia simu. Aliendelea kunicheki kila muda na kuniuliza vimaswali vya hapa na pale ananiuliza. Mara umekula, unakaa na nani? Yule dada niliyemkuta wote ofsini ni nani yako nk nk. Mwisho kabisa baada ya kuchati sana usiku nikamwambia mie nalala. Akaniambia anaomba anipigie. Nikamjibu just call me. Akapanda hewani. Ofcourse tuliongea mengi anikisifu kuwa kumsaidia. Mwisho akaniuliza huna cha kuniambia nikamjibu sina. Baada ya kukata simu akanitext kuwa yuko pekee yake chumbani hana kampani na anakunywa savana na zinampelekesha mno.

As man niliyekamilika na ninasikia stori za wadada na savana zinavyowafanya nikajikuta nababaika nijibu nini. Ikabidi nijifanye sijui kwa kuumuliza hiyo savana inamfanyaje?
hakuchelewa akajibu inampa ny**e.. ewaaaah daa wakuu damu yangu ikachemka mno.

Ikafuatiwa sms kuwa ananipenda. Kiufupi tulichati mno mpaka usiku mrefu full kuny***shana. Mapaka sasa nimeshindwa kuamua. Niwe na msimamo upi. Natami kutafuna sababu daa kuacha mtu amenililia vilf ni mbaya. Upande mwingine nina girlfriend wangu na hana nyama nyingi km huu mshangazi. Nikiweks kwenye mzani my girlfriend hafiki hata robo.

Kiukweli naogopa hii ni mara ya tatu ofsini natongozwa na mishangazi. Nashindwa kuelewa nifanye nini? Nimejaribu kuuliza kwanini kaniona mimi kati ya wanaume wengi ambao tuko ofsini akajibu ohh we ni mpole na una ustaarabu mno. Kila atakayehudumiwa na wewe atafurahi tu

Nishaurini maana anasumbua mno
Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?
Kijana wa hovyo
 
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?

Moja kwa moja kwenye mada

Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu kiumri like kama 8 years.​

....

Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?​

Click to expand then angalia kwenye underline uone jinsi muda unavyokwenda kasi
 
Anakupoteza huyo IKO LAANA YA UZINZI inasumbua sanaa vijana na weng wamepotezwa na hii mishangazi na shetan yupo road s kila anayekuambia NAKUPENDA anakupenda kwel mwingine n agent na hajielew yy ka n agent ukizin naye imeenda hio NYOTA YA MAFANIKIO ina run na mwisho wa sik mikos ming usha harib maisha HIO MINYAMA MKUU haina maana yoyote n matamanio ya muda mfup pale anapo vua CHUPI after that hamna insh kuwa makin mkuu haya maisha ss vijana n nuru kwao wazee wame log out ss sasa,,, zile mishe TUNAZO SIKILIZIA HATUTOBOI TUTAFELIIII
 
Back
Top Bottom