Tanzania kama sio Afrika nzima msanii anayeongoza kwa kuongelewa vibaya ni DIAMOND PLATNUMZ,na kama wewe ni mfuatiliaji wa hizi tuzo utakumbuka kuwa mwaka jana kwenye tuzo hizi za MTV mama MTUMBUIZAJI BORA AFRICA ALIKUWA NI YEYE DIAMOND PLATNUMZ.Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu
young thug nampenda anaimba humuelewi [emoji23][emoji23][emoji23] "am rich blood by the way, and i've swagg roll on like a tape, fish scale yah i got thse bitches on my bait" [emoji23][emoji23]Account yake ya bank inasoma sh ngap vilee? Je Saut ya Young thuggin je au Lil Wayne?
aisee! mkuu ile ni lugha ya ushairi tu hata isikupe taabu!Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
Mshauri anunue sauti ya kuperform live mkuu? ?Diamond ana hela kuwazidi hao wote wenye sauti nzuri kwa pamoja
Mkuu sio kama huwa anakosea hayo ni manjonjo na kutafuta vinaKuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
That's my best friend, that's my best friend, bless emyoung thug nampenda anaimba humuelewi [emoji23][emoji23][emoji23] "am rich blood by the way, and i've swagg roll on like a tape, fish scale yah i got thse bitches on my bait" [emoji23][emoji23]
jamani[emoji23][emoji23]That's my best friend, that's my best friend, bless em
Big ol' booty bitch missus from Texas, what's next is
I'm gon' skeet off, lil nigga come catch me, catch me
And that's my bestie, my bestie, my best friend, go best friend
Nigga livin' TTG and everything is still on fleek
Bad bitch rollin' with' me, she gon' smile cause she on fleek
Hundred thousand dollars inside my pants, my shit on fleek
Hey-yeah!
She got a nigga at homejamani[emoji23][emoji23]
Diamond ana hela kuwazidi hao wote wenye sauti nzuri kwa pamoja
domo hahitaji sauti nzuri ili apate hela kupitia mzikiMshauri anunue sauti ya kuperform live mkuu? ?
KUONYESHA KUWA HIKO KITU SI MUHIMU,KARIBIA DUNIA NZIMA WAANDAAJI WA TUZO HAWAJAWAHI KUWEKA KIPENGERE CHA MSANII MWENYE SAUTI NZURI AKIWA LIVE.Mshauri anunue sauti ya kuperform live mkuu? ?
Jamani msanii kuringa ndio usanii huo. Kama kiba anaringa Birdman yule wa YMCMB tusemeje?Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu