Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stay on the topic please [emoji51]Diamond ana hela kuwazidi hao wote wenye sauti nzuri kwa pamoja
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Jukwaani alivyokuwa anahangaika sasa kama anakimbizwa na Scorpion
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshauri anunue sauti ya kuperform live mkuu? ?
[emoji7] [emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kwa Lucky Dube na Bob Marleysio diamond tu mkuu,mimi ni mpenzi wa live shows hasa za mbele,sijawahi kusikia sauti ya live show iliyofanana na iliyorekodiwa kwenye cd,hata kwa kina wizkid siku ile kwenye mtvmama sauti yake haikuwa sawa na ya kwenye CD
Yani we jamaa hutaki kabisa diamond akikosolewa ata kama kakosea kazi yako kuficha makosaTanzania kama sio Afrika nzima msanii anayeongoza kwa kuongelewa vibaya ni DIAMOND PLATNUMZ,na kama wewe ni mfuatiliaji wa hizi tuzo utakumbuka kuwa mwaka jana kwenye tuzo hizi za MTV mama MTUMBUIZAJI BORA AFRICA ALIKUWA NI YEYE DIAMOND PLATNUMZ.
Si kweli kwamba sitaki MOND akosolewe, ila wengi hawaongei hoja ila wanaongea CHUKI, na ndio maana kwenye hilo swala la kuimba live nikawapa na mfano wa kwamba yeye ni mmoja wa waimbaji bora wa live kwa Africa na ndio maana mwaka jana alishinda tuzo ya BEST LIVE ACT,NA HII TUZO NI KWA MSANII AMBAYE ANALIMUDU JUKWAA KAMA HULIMUDU JUKWAA HUWEZI KUPATA HIYO TUZO. Sasa mtu haje kujenga hoja hapo.Yani we jamaa hutaki kabisa diamond akikosolewa ata kama kakosea kazi yako kuficha makosa
povuuu hoyeee teh tehDiamond ana hela kuwazidi hao wote wenye sauti nzuri kwa pamoja
hao uliowataja ni rappers sio vocalist kama diamond, Diamond yuko vizuri ila ajinoe zaidi katika vocal.Siko katika team zenu mi ni Team Tamadunu Muzik hahah Nikki Mbishi Songa One....Account yake ya bank inasoma sh ngap vilee? Je Saut ya Young thuggin je au Lil Wayne?
hapo uko sawa wengi wao sio good vocalist ingawa they can singSio Diamond tu, wasanii bongo/Africa wengi wanasauti mbaya live show.