Kwanini sauti ya Diamond Live ni mbaya lakini nzuri kwenye nyimbo tofauti?

Kwanini sauti ya Diamond Live ni mbaya lakini nzuri kwenye nyimbo tofauti?

Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu
Tanzania kama sio Afrika nzima msanii anayeongoza kwa kuongelewa vibaya ni DIAMOND PLATNUMZ,na kama wewe ni mfuatiliaji wa hizi tuzo utakumbuka kuwa mwaka jana kwenye tuzo hizi za MTV mama MTUMBUIZAJI BORA AFRICA ALIKUWA NI YEYE DIAMOND PLATNUMZ.
 
Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
aisee! mkuu ile ni lugha ya ushairi tu hata isikupe taabu!
Angalia lyrics ya nyimbo za mbele basi ndio utakereka kabisa
 
Mondi alikuwa rapper kitambo... Akawaogopa wakina Blue marehemu ngwea, fid, Joh, akaamua akabane pua mziki usio na ubunifu Mkubwa ....kitu anachoboa akicheza anatingisha kichwa so booooring.. Pesa sio kigezo Pogba ananunuliwa pesa nyingi kuliko kante au modric
 
Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
Mkuu sio kama huwa anakosea hayo ni manjonjo na kutafuta vina
 
young thug nampenda anaimba humuelewi [emoji23][emoji23][emoji23] "am rich blood by the way, and i've swagg roll on like a tape, fish scale yah i got thse bitches on my bait" [emoji23][emoji23]
That's my best friend, that's my best friend, bless em
Big ol' booty bitch missus from Texas, what's next is
I'm gon' skeet off, lil nigga come catch me, catch me
And that's my bestie, my bestie, my best friend, go best friend
Nigga livin' TTG and everything is still on fleek
Bad bitch rollin' with' me, she gon' smile cause she on fleek
Hundred thousand dollars inside my pants, my shit on fleek
Hey-yeah!
 
jamani[emoji23][emoji23]
 
jamani[emoji23][emoji23]
She got a nigga at home
And one on the side
Best friend is a dyke, they fucked around a few times
Her and her mamma alike, so all they do is fight
I tell her, "Make me some money," she tell me, "Make me a wife."
I tell that "Bitch, you crazy.
https://jamii.app/JFUserGuide wrong with you?"
And excuse my French, but I'm a long kisser
And then she try to tell me I'm the only one that's hittin'
And I say, "What about them niggas?"
She say, "What about them niggas?"
You right, what you doing tonight?[emoji12]
 
Mshauri anunue sauti ya kuperform live mkuu? ?
KUONYESHA KUWA HIKO KITU SI MUHIMU,KARIBIA DUNIA NZIMA WAANDAAJI WA TUZO HAWAJAWAHI KUWEKA KIPENGERE CHA MSANII MWENYE SAUTI NZURI AKIWA LIVE.
 
Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu
Jamani msanii kuringa ndio usanii huo. Kama kiba anaringa Birdman yule wa YMCMB tusemeje?
 
Hivi ile sauti ni ya diamond au salam ndio alimuimbia
 
Usishangae mkuu, wasanii wa fleva si wanamuziki. Wale kama wajulikanavyo ni wasanii na kazi yao kubwa ni kuimba nyimbo za watu wengine
 
Back
Top Bottom