Kwanini sauti ya Diamond Live ni mbaya lakini nzuri kwenye nyimbo tofauti?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Jamani mi ni shabiki mkubwa na mzuri wa mziki wa bongo fleva, ila ili jambo linanipa wakati mgumu kuamini, huyu mkali wa bongo fleva diamond ana nyimbo kali sana ila kumekuwa na tofauti kubwa sana katika uwasilishwaji wa nyimbo hizo katika live performance na nyimbo tunazozisikia kwenye radio.

Diamond katika nyimbo ana sauti nzuri yenye base kidogo. Ila huyu jamaa sielewi kwanini akiimba live sauti inakua ingine kabisa yaani mbaya, mbona kina ben paul, banana, kiba king, rayvanny harmonise bela etc wakiimba live sauti inakua ile ile. au kuna ka application kwenye playstore anachokitumia kufanya sauti iwe nzuri studio.

Pia nafikiri sasa diamond aachie kina iyobo kucheza awapo jukwaani yeye afanye kazi moja tu ya kuimba, asijifanye michael jackson, na hii sasa ndo imekuwa weakness ya diamond ambapo mpinzani wake kiba anamfunikia.

Namshauri atafute mwalimu wa sauti na mziki wa live, vinginevyo hatutamuelewa . sauti ya jukwaani cjui ndo yake maana huwa mbaya, na akishindwa kabisa basi bana hata pua bwana

Kwaheri
 
sio diamond tu mkuu,mimi ni mpenzi wa live shows hasa za mbele,sijawahi kusikia sauti ya live show iliyofanana na iliyorekodiwa kwenye cd,hata kwa kina wizkid siku ile kwenye mtvmama sauti yake haikuwa sawa na ya kwenye CD
 
Hivi huyo diamondi huwa anapatikana wapi;
ili awafadhili wajasiriamali wangu kule kijijini.
 
Mwambieni aige mfano wa mwenzake, kaingia na jiti tu na bendera ya taifa.
 
Tatizo viongozi wake wanapoteza muda mwingi kwenda kukaa back stage badala watumie muda huo kufanyia kazi mapungufu ya huyu kijana juzi kapaform muda mchache lakini alipata shida sana sasa hizo show wanazo sema anafanya marekani sijui huwa inakuwaje!

-Nyerere-
 
Jamani mi ni shabiki mkubwa na mzuri wa mziki wa bongo fleva, ila ili jambo linanipa wakati mgumu kuamini, huyu mkali wa bongo fleva diamond ana nyimbo kali sana ila kumekuwa na tofauti kubwa sana katika uwasilishwaji wa nyimbo hizo katika live performance na nyimbo tunazozisikia kwenye radio.

Diamond katika nyimbo ana sauti nzuri yenye base kidogo. Ila huyu jamaa sielewi kwanini akiimba live sauti inakua ingine kabisa yaani mbaya, mbona kina ben paul, banana, kiba king, rayvanny harmonise bela etc wakiimba live sauti inakua ile ile. au kuna ka application kwenye playstore anachokitumia kufanya sauti iwe nzuri studio.

Pia nafikiri sasa diamond aachie kina iyobo kucheza awapo jukwaani yeye afanye kazi moja tu ya kuimba, asijifanye michael jackson, na hii sasa ndo imekuwa weakness ya diamond ambapo mpinzani wake kiba anamfunikia.

Namshauri atafute mwalimu wa sauti na mziki wa live, vinginevyo hatutamuelewa . sauti ya jukwaani cjui ndo yake maana huwa mbaya, na akishindwa kabisa basi bana hata pua bwana

Kwaheri
Bila shaka na wewe upo kwenye kundi la KUDHANI KUWA MSANII WAKO HAFANYI VIZURI KWA SABABU YA DIAMOND KUWA JUU ZAIDI YAKE NA UNAAMINI KUWA ILI HUYO MSANII WAKO AWE JUU NI LAZIMA KWANZA HUMSHUSHE DIAMOND,haya endelea kusubiri ndoto zako zitimie.
 
Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
 
Nasubiri thread Shardcole nae sijui atasemaje, kama umpendi mtu sema mimi sipendi full stop, sio unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma, ina maana huyo diamond platnumz mziki kaanza leo, siku zote mlikuwa wapi mpaka muongee leo.
[emoji13][emoji13][emoji13]Ahsante ati kwamba anazunguka kama nin!!?
 
Tatizo viongozi wake wanapoteza muda mwingi kwenda kukaa back stage badala watumie muda huo kufanyia kazi mapungufu ya huyu kijana juzi kapaform muda mchache lakini alipata shida sana sasa hizo show wanazo sema anafanya marekani sijui huwa inakuwaje!

-Nyerere-
Musichoke kumtaja maana hata yeye huwa anafurahi sana kuwa jina lake muda mwingi lipo midomoni mwenu,na inamuongezea madili makubwa kwasababu ni mtu anayeongelewa sana tena sana,cheki na hii,ila kama utazimia sihusiki.
 
Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
Sikia kwa nijuavyo mie kwa wasanii, hasa katika ishu ya mashairi wao wana kitu wanaita POETIC LICENSE.. Yani badala ya kusema aliniambia, au unanitekenya, wao wanaruhusiwa kusema labda unaitekenyaga, alinimbiaga ili kuleta usawa katika vina na mizani... Umenipata?
 
Account yake ya bank inasoma sh ngap vilee? Je Saut ya Young thuggin je au Lil Wayne?
 
Kuna kitu kimoja kinachonifanya sisiipende nyimbo za Diamond...ni yale matumizi ya Kiswahili cha "GA" mfano AliniambiaGA, UnantekenyaGA, SijuaGI! ndani ya nyimbo zake. Ni vizuri wakiandika nyimbo wawe wanawaona wataalamu wa lugha kwa ajili ya kuhariri makosa.
Ila na wewe usiwe zuzu tu wakuuliza kwanini dili nyingi za matangazo zinamfuata yeye....basi usiwaze sana ukadhani kuna mchawi,jibu hakuna,ila ni vile tunamuongelea sana, kwahiyo midomoni kwetu yupo DIAMOND na makampuni hiko ndicho wanachokitaka.
images
 
Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu
 
Back
Top Bottom