shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
diamond anatakiwa afundishwe na rayvany maana ndio kichwa chao wcb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki mbaya sana Mkuu achana nae !! Anaanzaje kumponda mtu unayempenda kwa dhati? Hivi ajui kamsemo ka "Ukipenda huoni"?Nasubiri thread Shardcole nae sijui atasemaje, kama umpendi mtu sema mimi sipendi full stop, sio unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma, ina maana huyo diamond platnumz mziki kaanza leo, siku zote mlikuwa wapi mpaka muongee leo.
Yaani unataka afanye mazoez ya kuongea??? Kha?? Mbona unamrudisha utoto wakati hatua iyo alishapita?Mimi sio mshabiki wa ali kiba hata kidogo, na wala cpendezwi na maringo yake na kujifanya kwake kuwa yeye ni mkuu. mimi ni shabiki wa diamond ndo mana nataka arekebishe pungufu ili, mana washabiki wake tunasemwa sana juu ya hili. najua akifanya mazoezi ataweza tu
Sijahudhuria matamasha mengi ya diamond platnumz, ila kuna kama mawili matatu nimewahi msikiliza pia nishawahi kuingia kwenye matamasha wakadha wakadha ya fiesta huku mikoani ingawa diamond platnumz hakuudhuri.Jamani mi ni shabiki mkubwa na mzuri wa mziki wa bongo fleva, ila ili jambo linanipa wakati mgumu kuamini, huyu mkali wa bongo fleva diamond ana nyimbo kali sana ila kumekuwa na tofauti kubwa sana katika uwasilishwaji wa nyimbo hizo katika live performance na nyimbo tunazozisikia kwenye radio.
Diamond katika nyimbo ana sauti nzuri yenye base kidogo. Ila huyu jamaa sielewi kwanini akiimba live sauti inakua ingine kabisa yaani mbaya, mbona kina ben paul, banana, kiba king, rayvanny harmonise bela etc wakiimba live sauti inakua ile ile. au kuna ka application kwenye playstore anachokitumia kufanya sauti iwe nzuri studio.
Pia nafikiri sasa diamond aachie kina iyobo kucheza awapo jukwaani yeye afanye kazi moja tu ya kuimba, asijifanye michael jackson, na hii sasa ndo imekuwa weakness ya diamond ambapo mpinzani wake kiba anamfunikia.
Namshauri atafute mwalimu wa sauti na mziki wa live, vinginevyo hatutamuelewa . sauti ya jukwaani cjui ndo yake maana huwa mbaya, na akishindwa kabisa basi bana hata pua bwana
Kwaheri
Haters gonna hate believers gonna believehao uliowataja ni rappers sio vocalist kama diamond, Diamond yuko vizuri ila ajinoe zaidi katika vocal.Siko katika team zenu mi ni Team Tamadunu Muzik hahah Nikki Mbishi Songa One....
beliver can hate too, hawa jamaa wanawachanganya sana watanzania, anyway wiki hii tunatarajia kichupa cha ngoma ya Nikki Mbishi inaitwa Babu Talent shoot imefanyika kinondoni, support HipHop piaHaters gonna hate believers gonna believe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba tafadhali usirudie tena kunichekesha hivi.... Plse[emoji119] [emoji119]Jukwaani alivyokuwa anahangaika sasa kama anakimbizwa na Scorpion
Atajitetea hata kwa kusema uongoYani we jamaa hutaki kabisa diamond akikosolewa ata kama kakosea kazi yako kuficha makosa