Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Jul 5, 2022 #1 Eti wakuu ni kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa? Yaani hata wazungu wanaiita kichwa. Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili. Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume. Nisaidieni mawazo.
Eti wakuu ni kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa? Yaani hata wazungu wanaiita kichwa. Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili. Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume. Nisaidieni mawazo.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 5, 2022 #2 Kichwa kisichoota nywele
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,811 Reaction score 4,178 Jul 5, 2022 #3 JamiiForums raha sana yan ukiamka unakutana na mada za kuchangamsha mwili na kufanya utabasamu wakati wote wa kusoma.
JamiiForums raha sana yan ukiamka unakutana na mada za kuchangamsha mwili na kufanya utabasamu wakati wote wa kusoma.
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,076 Reaction score 5,483 Jul 5, 2022 #4 Sio kichwa kama kichwa ni Abdalah kichwa wazi
Lutandagula JF-Expert Member Joined Apr 8, 2018 Posts 1,762 Reaction score 2,154 Jul 5, 2022 #5 Abdallah Kipara wazi
machafuko jr JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 565 Reaction score 1,158 Jul 5, 2022 #6 Ni kichwa kisicho fikili
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jul 5, 2022 #7 Yes, umegonga palepale, uzi huu utapata wachangiaji zaidi ya milioni.
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Jul 5, 2022 #8 Mbunge : Kuongeza swali la nyongeza tu pia kwanini kanaitwa kaharage wakati hamna wali? Spika: Majibu waziri wa afya
Mbunge : Kuongeza swali la nyongeza tu pia kwanini kanaitwa kaharage wakati hamna wali? Spika: Majibu waziri wa afya
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 5, 2022 #9 Nchi imejaa Vijana wa hovyo! Kichwa kama hiki kwa picha Attachments 20220416_210642.jpg 35.4 KB · Views: 17
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jul 5, 2022 #10 Hata uke unaitwa tobo hata kwà kingereza hole
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 3,890 Reaction score 8,647 Jul 5, 2022 #11 Tena kwa kuongezea kinaitwa kichwa cha chini.
Bangida JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 2,406 Reaction score 11,258 Jul 5, 2022 #12 Kwaio kwa mtazamo wa mtoa mada, kama abdala kichwa wazi anaitwa kichwa, kwaio na mapoumbou ndo mat.ako au?🤔
Kwaio kwa mtazamo wa mtoa mada, kama abdala kichwa wazi anaitwa kichwa, kwaio na mapoumbou ndo mat.ako au?🤔
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Jul 5, 2022 #13 Ndipo uzao utokea
Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 601 Jul 5, 2022 #14 Nimeanza kuchekelea ndani hadi kichwa kinauma
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 3,338 Reaction score 6,327 Jul 5, 2022 #15 "Hivi unajua kichwa cha chini hakinaga utosi" Abdallah kichwa wazi "Said kichwa ntamuweka wapi na mkongo nishampakaza" ROBERT BAKHRESA
"Hivi unajua kichwa cha chini hakinaga utosi" Abdallah kichwa wazi "Said kichwa ntamuweka wapi na mkongo nishampakaza" ROBERT BAKHRESA
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jul 5, 2022 #16 Mkuu ndio kwanza Jumanne. Tena Asubuhi.
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Jul 5, 2022 Thread starter #18 Mad Max said: Mkuu ndio kwanza jumanne. Tena Asubuhi. Click to expand... Kulikoni?
iphoneProMAX Senior Member Joined Aug 30, 2021 Posts 104 Reaction score 94 Jul 5, 2022 #19 Elli said: Nchi imejaa Vijana wa hovyo! Kichwa kama hiki kwa picha Click to expand... Huyu alikuwa kifo cha kikatili sana
Elli said: Nchi imejaa Vijana wa hovyo! Kichwa kama hiki kwa picha Click to expand... Huyu alikuwa kifo cha kikatili sana
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jul 5, 2022 #20 Ni kichwa cha familia, kwakuwa ni chimbuko la familia zote unazoziona ikiwemo na wewe.