Kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa kichwa?

Kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa kichwa?

Ndicho kilichoanza kuchomoza wakati unazaliwa na pia huanza kuzama wakati wa tendo.
 
Aaah mi nadhani kwa sababu Uume nao huwa una maamuzi yake binafsi tofauti na utakavyo mwili hivyo basi lazima utakuwa na kichwaa tuu
 
Eti wakuu nikwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa?

Yaani hata wazungu wanaiita kichwa.

Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili.

Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume.

Nisaidieni mawazo.
Kwakuwa kina shingo
 
Ungeambatanisha na picha ingekuwa poa sana... Nawasilisha
 
Samahani bro ivi enzi zenu mada kama hizi zilikwepo ... nini tufanye , wapi tunaelekea, tupe maoni yako ... natanguliza shukurani
Tulikuwa tuna mafundisho mema toka kwa wakubwa zetu
Tulifundishwa ujasiri
Tulifundishwa skills za maisha
Tulifundishwa mahusiano
Tulisimuliwa hadithi za ushujaa nk
Siku hizi hayo mambo hayapo tena
 
Eti wakuu ni kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa?

Yaani hata wazungu wanaiita kichwa.

Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili.

Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume.

Nisaidieni mawazo.
Kazi ipo......!!!!!
 
Back
Top Bottom