Kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa kichwa?

Shingo iko wapi?
Screenshot_20220705-110336.jpg
 
Mara kichwa mara kibamba.
Tumechoka, Hivi swali itabaki kuwa kibamia hata kama imeingia kwenye shimo ndogo inayobana? Au tuseme tu kuwa ndogo hamna yote yametanuka sana lazima ipwae ila wenye kutanuka hawajui sababu wamebakia tu kulalamika kibamia kumbe shida sio Kibamia shida ni kutanuka sana
 
Tulikuwa tuna mafundisho mema toka kwa wakubwa zetu
Tulifundishwa ujasiri
Tulifundishwa skills za maisha
Tulifundishwa mahusiano
Tulisimuliwa hadithi za ushujaa nk
Siku hizi hayo mambo hayapo tena
Enzi zenu ndio zimefanya tukaja kupata enzi za kijinga kabisa. Nawalaumu sana nyie wa enzi hizo na sababu ziko nyingi tu:-
1. Mkatutungia katiba mbovu inayobeba wachache
2. Mkaua viwanda vyote, mlitegemea ajira za vijana zingetoka wapi. Ukiona ujinga mwingi kwa viwaja ujue hawana kazi au kazi zao ni za bla bla.
3.Mkajifunza nizamu ya woga mkaambukiza mpaka kizazi cha Sasa, hamna ujasiri hata wakudai kilicho haki Yao.
4. Nk nk
 
Neno kichwa Lina maana zifuatazo;

1. Kiongozi
2. Sehemu ya mbele ya kitu, kiungo, au kiumbe (hata mdomo unaweza kuwa sehemu ya mbele ya kitu au Jambo mfano mdomo WA MTO"sehemu ya MTO inayomwaga maji yake baharini au ziwani
3. Sehemu ya juu kabisa ya kitu au kiumbe

Uume sehemu yake ya mbele inaitwa kichwa kwa kuzingatia mahali ilipo.

Hata mbegu ya kiume, sehemu ya mbele huitwa kichwa, na ya mwisho huitwa Mkia.

Baba huitwa kichwa Kwa sababu yeye ni Kiongozi,

Mwanafunzi anayeongoza darasa anaitwa Kichwa kumaanisha yeye ndiye kinara, kiongozi aliyembele ya wanafunzi wote.
 
Mzee unanza kupotoka , kwa mujibu wa maelezo yako kichwa ni kiumbe? Hizi kamba
 
Kwa sababu ina kidevu kilichozunguka kichwa kizima, ina mdomo wenye lips kulia na kushoto, ima uwezo wa kusensi na kujifanyia maamuzi chenyewe sawa na ubongo uliopo kwenye kichwa cha juu.

Nahis had hapo utakuwa umelishishwa na ayo majibu
 
Enzi zenu ndio zimefanya tukaja kupata enzi za kijinga kabisa. Nawalaumu sana nyie wa enzi hizo na sababu ziko nyingi tu:-
1. Mkatutungia katiba mbovu inayobeba wachache
2. Mkaua viwanda vyote, mlitegemea ajira za vijana zingetoka wapi. Ukiona ujinga mwingi kwa viwaja ujue hawana kazi au kazi zao ni za bla bla.
3.Mkajifunza nizamu ya woga mkaambukiza mpaka kizazi cha Sasa, hamna ujasiri hata wakudai kilicho haki Yao.
4. Nk nk
Haya yote uliyoyaandika hapa hayakutokea zamani bali ni ya juzi tu hapo kuanzia utawala wa Mwinyi na wote waliofuatia
 
Enzi zenu ndio zimefanya tukaja kupata enzi za kijinga kabisa. Nawalaumu sana nyie wa enzi hizo na sababu ziko nyingi tu:-
1. Mkatutungia katiba mbovu inayobeba wachache
2. Mkaua viwanda vyote, mlitegemea ajira za vijana zingetoka wapi. Ukiona ujinga mwingi kwa viwaja ujue hawana kazi au kazi zao ni za bla bla.
3.Mkajifunza nizamu ya woga mkaambukiza mpaka kizazi cha Sasa, hamna ujasiri hata wakudai kilicho haki Yao.
4. Nk nk
Haya yote uliyoyaandika hapa hayakutokea zamani bali ni ya juzi tu hapo kuanzia utawala wa Mwinyi na wote waliofuatia..
 
Eti wakuu ni kwanini sehemu ya mbele ya uume inaitwa Kichwa?

Yaani hata wazungu wanaiita kichwa.

Ni sifa zipi zinafanya iitwe kichwa maana sehemu ya nyuma haiitwi kiwiliwili.

Sijawahi kusikia kiwiliwili cha uume ila nasikia kichwa cha uume.

Nisaidieni mawazo.
Weka picha
 
Kuna watu humu wanacomment eti abdalah kichwa mara said kichwa, kwanini wameita haya majina?
 
Haya yote uliyoyaandika hapa hayakutokea zamani bali ni ya juzi tu hapo kuanzia utawala wa Mwinyi na wote waliofuatia..
Ni kweli yametokea juzijuzi lakini lawama zangu nazitupa kwa wahenga kwamba ndio msingi wa haya yote kutokea sasahivi. Vijana wangekuoa bize na uzalishaji viwandani na mashambani wasingekuwa na huu upuuzi wanaouandika sikuhizi, na chanzo cha ukosefu wa ajira ni janga lililoandaliwa miongo kadhaa na hao wazamani. Wakaua viwanda, wakatuachia katiba ya ajabu, wakawa na nizamu ya woga mpk kizazi hiki kikaiga hvyohvyo. Wazungu wapo hapo walipo coz mababu na mababu walitengeneza njia kwa kuweza kuvuka bara na bara kwenda kuiba Mali sio Hawa wakwetu walipewa nchi unalipiwa Kila kitu na Kodi ya wananchi wetu lakini bado anaungana na mkoloni kumuibia tena nchi yake. Acha tu mada kama hizi ziwepo tupunguze stress zetu
 
Ebu mtafutieni mleta mada kitu Cha kufanya maana anaonekana yupo idol Sana mpaka anaanza kuwaza vity vya ajabu ajabu Kama hivi.

" An idle mind Is a devil's workshop"

Back
Top Bottom