Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,016
Reaction score
4,404
Bodaboda

Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini

Mada
Wakuu, habari za muda huu.

Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio la kila mtu aliyefeli kila idara mtaani na maishani. Hawa jamaa wamefeli kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, na sasa wamehamishia huo ujinga wao barabarani kutusumbua sisi tunaojielewa.

Kwani kila mtu lazima awe bodaboda? Hakuna kazi zingine za kufanya hadi mji mzima ujazane uhuni huu
Ukikutana nao barabarani ni kichefuchefu tupu.
Wanaume wazima wananuka vumbi kuanzia utosini hadi kwenye kucha, nguo zimekauka jasho na mafuta ya petroli hadi zinatoa uvundo usiovumilika. Yaani abiria ukipanda unatamani usishushie pumzi njiani kwa ajili ya harufu mbaya ya miili yao

Ukiacha uchafu wa miili na nguo zao, akili zao sasa ndio sifuri kabisa zina urefu na uwezo sawa na akili za kuku. Kazi yao ni kuona wapi pa kuvuka tu, hawaangalii kushoto wala kulia, hawajali taa nyekundu wala gari kubwa linalokuja kwa kasi. Hawajui sheria, hawajui ustaarabu, na matokeo yake wanajaa barabarani kama nzige huku wakifa kufa hovyo kila uchao kama kuku wenye mdondo.

Ni msiba mzito unaogharimu nguvu kazi, lakini wao hawaoni. Kila siku wanalazwa mochwari na kuacha vilema kwa ukaidi wao wa kijinga wa kugoma kufuata sheria za barabarani. Kwa upumbavu wao huu wa kila siku, wanaishia kuacha wanawake wajane wadogo kabisa mitaani na watoto mayatima wasio na mbele wala nyuma, kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa buku jero.

Kibaya zaidi, wana tabia za ushamba na mshikamano wa kijinga; ukimgusa bodaboda mmoja kwa bahati mbaya, hata kama kosa ni lake au kajiingiza mwenyewe chini ya gari, utaona lile genge la wajinga wenzake likijazana hapo na makelele kama nyuki bila hata kujua kisa wala chanzo cha tatizo ni laana

Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.

Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini?
Lakini ukweli unaouma ni huu: Hawa jamaa ni malaya wa kutupwa, lakini wake zao huku nyumbani wanaliwa kisawasawa. Wakati wao wapo bize vijiweni kuanzia asubuhi hadi usiku wakipiga umbeya, wananuka vumbi, wanasubiri ofa za elfu moja, na wanakufa hovyo barabarani wakiacha wajane na mayatima, wake zao huko nyumbani wanateseka kwa upweke na njaa.

Unakuta bodaboda anarudi usiku amechoka (kama hajanusurika ajali), ananuka uvundo, mfukoni ana buku tano ya hesabu ya tajiri, kumbe mkewe nyumbani kashatandikwa kote kote na kuachiwa mtaji wa maana na wanaume wanaojielewa na kunukia vizuri. Ni mwendo wa kubadilishana tu; wao wale wa kwetu kwa lifti ya jero, sisi tunalala na hao wake zao wachafu kwa bajeti inayoeleweka!

Hivi hii sekta ya hovyo hovyo kwanini isifutwe tu nchi ipumue? Wamejaza fujo barabarani, vifo visivyo na msingi kila siku, wajane na mayatima kila kona, na upungufu wa akili kwenye jamii.

Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari mruhusika kutapika mapovu
 
Mungu anaona machozi yetu, na kukosa kwetu leo sio mwisho wa hadithi zetu. Mlango mmoja ukifungwa, tunaamini yeye hufungua mwingine kwa wakati wake. Tumelia kidogo, tunaomba na kufanya kidogo tunachoweza kwasababu tunaamini Neema yake haitachelewa na huja kwa wakati.
Zaburi 34:18 inasema: "Bwana yuko karibu na wale walio na mioyo iliyovunjika".

Kwa walio na kitu cha kushukuru.......
Usisahau chanzo cha baraka. Kila pumzi, kila mlo, kila amani ndogo ni zawadi. Shukuru kwa unyoofu, na ukishiba kumbuka ndugu yako aliye na njaa.
 
Mungu anaona machozi yetu, na kukosa kwetu leo sio mwisho wa hadithi zetu. Mlango mmoja ukifungwa, tunaamini yeye hufungua mwingine wakati kwa wake. Tumilia kidogo, tunaomba na kufanya kidogo tunachoweza. Neema yake haitachelewa.
Zaburi 34:18 inasema: "Bwana yuko karibu na wale walio na mioyo iliyovunjika".

Kwa walio na kitu cha kushukuru.......
Usisahau chanzo cha baraka. Kila pumzi, kila mlo, kila amani ndogo ni zawadi. Shukuru kwa unyoofu, na ukishiba kumbuka ndugu yako aliye na njaa.
Ameeen
 
Lema aliwambia yakatokea mavampire hapa yakiongozwa na Mwasambwa yakamkashifu kwa maneno makali. Ccm walivyo na akili mbovu wakawapa majina matamu matamu wakiongozwa na Kasesera eti maafsa usafirishaji. Hacheni wage.
 
[emoji23][emoji23]
 
namhurumia sana bi dada atake/ alie olewa na wew,, mtoto wa kiume unachamba namna hii? mwenzako kapata jasho akiwa kwenye utaftaji wa halali ila we unamtukana kuwa ananuka?,, broooo kweny haya maisha hatuwezi kufanana, na kama umeinuliwa wew isiwe sababu ya kuwasema vibaya waliopo chini,,,

hii umezingua mwanetu
 
Au sio
 
Bodaboda

Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini

Mada
Wakuu, habari za muda huu.

Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio la kila mtu aliyefeli kila idara mtaani na maishani. Hawa jamaa wamefeli kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, na sasa wamehamishia huo ujinga wao barabarani kutusumbua sisi tunaojielewa.

Kwani kila mtu lazima awe bodaboda? Hakuna kazi zingine za kufanya hadi mji mzima ujazane uhuni huu
Ukikutana nao barabarani ni kichefuchefu tupu.
Wanaume wazima wananuka vumbi kuanzia utosini hadi kwenye kucha, nguo zimekauka jasho na mafuta ya petroli hadi zinatoa uvundo usiovumilika. Yaani abiria ukipanda unatamani usishushie pumzi njiani kwa ajili ya harufu mbaya ya miili yao

Ukiacha uchafu wa miili na nguo zao, akili zao sasa ndio sifuri kabisa zina urefu na uwezo sawa na akili za kuku. Kazi yao ni kuona wapi pa kuvuka tu, hawaangalii kushoto wala kulia, hawajali taa nyekundu wala gari kubwa linalokuja kwa kasi. Hawajui sheria, hawajui ustaarabu, na matokeo yake wanajaa barabarani kama nzige huku wakifa kufa hovyo kila uchao kama kuku wenye mdondo.

Ni msiba mzito unaogharimu nguvu kazi, lakini wao hawaoni. Kila siku wanalazwa mochwari na kuacha vilema kwa ukaidi wao wa kijinga wa kugoma kufuata sheria za barabarani. Kwa upumbavu wao huu wa kila siku, wanaishia kuacha wanawake wajane wadogo kabisa mitaani na watoto mayatima wasio na mbele wala nyuma, kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa buku jero.

Kibaya zaidi, wana tabia za ushamba na mshikamano wa kijinga; ukimgusa bodaboda mmoja kwa bahati mbaya, hata kama kosa ni lake au kajiingiza mwenyewe chini ya gari, utaona lile genge la wajinga wenzake likijazana hapo na makelele kama nyuki bila hata kujua kisa wala chanzo cha tatizo ni laana

Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.

Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini?
Lakini ukweli unaouma ni huu: Hawa jamaa ni malaya wa kutupwa, lakini wake zao huku nyumbani wanaliwa kisawasawa. Wakati wao wapo bize vijiweni kuanzia asubuhi hadi usiku wakipiga umbeya, wananuka vumbi, wanasubiri ofa za elfu moja, na wanakufa hovyo barabarani wakiacha wajane na mayatima, wake zao huko nyumbani wanateseka kwa upweke na njaa.

Unakuta bodaboda anarudi usiku amechoka (kama hajanusurika ajali), ananuka uvundo, mfukoni ana buku tano ya hesabu ya tajiri, kumbe mkewe nyumbani kashatandikwa kote kote na kuachiwa mtaji wa maana na wanaume wanaojielewa na kunukia vizuri. Ni mwendo wa kubadilishana tu; wao wale wa kwetu kwa lifti ya jero, sisi tunalala na hao wake zao wachafu kwa bajeti inayoeleweka!

Hivi hii sekta ya hovyo hovyo kwanini isifutwe tu nchi ipumue? Wamejaza fujo barabarani, vifo visivyo na msingi kila siku, wajane na mayatima kila kona, na upungufu wa akili kwenye jamii.

Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari mruhusika kutapika mapovu
Usidharau kazi ya mwenzako , ni heri kuwa na bodaboda wengi kuliko kuwa na vibaka wengi mtaani.
 
Wewe kenge umetumwa na Gkdbless Lema kuja kukejeri maafisa usafirishaji?
 
Lema aliwambia yakatokea mavampire hapa yakiongozwa na Mwasambwa yakamkashifu kwa maneno makali. Ccm walivyo na akili mbovu wakawapa majina matamu matamu wakiongozwa na Kasesera eti maafsa usafirishaji. Hacheni wage.
Hao mnaowadharau ndio walipambana kumuokoa msaidizi wa Lisu alipotekwa. Muwe na adabu na kazi za watu.
 
Back
Top Bottom