Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Pumbavu anachamba mwanao nyumbani.. Mtu mzima huwa anatoa factsAu sio naona unachamba

Moja ya jumbe bora kabisa, kwa sahivi ni kama nchi ipo kwenye autopilotTuwe wa kweli, nchi yetu rushwa imekithiri ni kubwa mno ndyo inasababisha vyote hivyo
Ukiangalia mitaa/jamii zetu ni kama zinajiendesha zenyewe karibia nchi nzima, mifumo yetu ni ovyo na duni sana
acha dhihaka ndugu, Mungu hadhihakiwi.Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.
Kimbilio la walio feli how! waliofaulu ni wapi ! #nonsenseBodaboda
Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini
Mada
Wakuu, habari za muda huu.
Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio la kila mtu aliyefeli kila idara mtaani na maishani. Hawa jamaa wamefeli kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, na sasa wamehamishia huo ujinga wao barabarani kutusumbua sisi tunaojielewa.
Kwani kila mtu lazima awe bodaboda? Hakuna kazi zingine za kufanya hadi mji mzima ujazane uhuni huu
Ukikutana nao barabarani ni kichefuchefu tupu.
Wanaume wazima wananuka vumbi kuanzia utosini hadi kwenye kucha, nguo zimekauka jasho na mafuta ya petroli hadi zinatoa uvundo usiovumilika. Yaani abiria ukipanda unatamani usishushie pumzi njiani kwa ajili ya harufu mbaya ya miili yao
Ukiacha uchafu wa miili na nguo zao, akili zao sasa ndio sifuri kabisa zina urefu na uwezo sawa na akili za kuku. Kazi yao ni kuona wapi pa kuvuka tu, hawaangalii kushoto wala kulia, hawajali taa nyekundu wala gari kubwa linalokuja kwa kasi. Hawajui sheria, hawajui ustaarabu, na matokeo yake wanajaa barabarani kama nzige huku wakifa kufa hovyo kila uchao kama kuku wenye mdondo.
Ni msiba mzito unaogharimu nguvu kazi, lakini wao hawaoni. Kila siku wanalazwa mochwari na kuacha vilema kwa ukaidi wao wa kijinga wa kugoma kufuata sheria za barabarani. Kwa upumbavu wao huu wa kila siku, wanaishia kuacha wanawake wajane wadogo kabisa mitaani na watoto mayatima wasio na mbele wala nyuma, kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa buku jero.
Kibaya zaidi, wana tabia za ushamba na mshikamano wa kijinga; ukimgusa bodaboda mmoja kwa bahati mbaya, hata kama kosa ni lake au kajiingiza mwenyewe chini ya gari, utaona lile genge la wajinga wenzake likijazana hapo na makelele kama nyuki bila hata kujua kisa wala chanzo cha tatizo ni laana
Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.
Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini?
Lakini ukweli unaouma ni huu: Hawa jamaa ni malaya wa kutupwa, lakini wake zao huku nyumbani wanaliwa kisawasawa. Wakati wao wapo bize vijiweni kuanzia asubuhi hadi usiku wakipiga umbeya, wananuka vumbi, wanasubiri ofa za elfu moja, na wanakufa hovyo barabarani wakiacha wajane na mayatima, wake zao huko nyumbani wanateseka kwa upweke na njaa.
Unakuta bodaboda anarudi usiku amechoka (kama hajanusurika ajali), ananuka uvundo, mfukoni ana buku tano ya hesabu ya tajiri, kumbe mkewe nyumbani kashatandikwa kote kote na kuachiwa mtaji wa maana na wanaume wanaojielewa na kunukia vizuri. Ni mwendo wa kubadilishana tu; wao wale wa kwetu kwa lifti ya jero, sisi tunalala na hao wake zao wachafu kwa bajeti inayoeleweka!
Hivi hii sekta ya hovyo hovyo kwanini isifutwe tu nchi ipumue? Wamejaza fujo barabarani, vifo visivyo na msingi kila siku, wajane na mayatima kila kona, na upungufu wa akili kwenye jamii.
Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari mruhusika kutapika mapovu
maisha hupangwa na Mungu,,usidharau alicho pangiwa mwenzako,inawezekana hata wewe kwenye familia yako utapata boda.....
Maenoe ninayo ishi, ukitafuta kituo cha polisi ni kwa tochi.. hata ukiibiwa inabidi upande dala dala ukakipate kituo ni mwendo wa lisaa kwa daladala.. haibuMoja ya jumbe bora kabisa, kwa sahivi ni kama nchi ipo kwenye autopilot
Mtawapeleka wapi na hamna viwanda,bidhaa zotezinatoka china.Bodaboda
Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini
Mada
Wakuu, habari za muda huu.
Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio la kila mtu aliyefeli kila idara mtaani na maishani. Hawa jamaa wamefeli kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, na sasa wamehamishia huo ujinga wao barabarani kutusumbua sisi tunaojielewa.
Kwani kila mtu lazima awe bodaboda? Hakuna kazi zingine za kufanya hadi mji mzima ujazane uhuni huu
Ukikutana nao barabarani ni kichefuchefu tupu.
Wanaume wazima wananuka vumbi kuanzia utosini hadi kwenye kucha, nguo zimekauka jasho na mafuta ya petroli hadi zinatoa uvundo usiovumilika. Yaani abiria ukipanda unatamani usishushie pumzi njiani kwa ajili ya harufu mbaya ya miili yao
Ukiacha uchafu wa miili na nguo zao, akili zao sasa ndio sifuri kabisa zina urefu na uwezo sawa na akili za kuku. Kazi yao ni kuona wapi pa kuvuka tu, hawaangalii kushoto wala kulia, hawajali taa nyekundu wala gari kubwa linalokuja kwa kasi. Hawajui sheria, hawajui ustaarabu, na matokeo yake wanajaa barabarani kama nzige huku wakifa kufa hovyo kila uchao kama kuku wenye mdondo.
Ni msiba mzito unaogharimu nguvu kazi, lakini wao hawaoni. Kila siku wanalazwa mochwari na kuacha vilema kwa ukaidi wao wa kijinga wa kugoma kufuata sheria za barabarani. Kwa upumbavu wao huu wa kila siku, wanaishia kuacha wanawake wajane wadogo kabisa mitaani na watoto mayatima wasio na mbele wala nyuma, kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa buku jero.
Kibaya zaidi, wana tabia za ushamba na mshikamano wa kijinga; ukimgusa bodaboda mmoja kwa bahati mbaya, hata kama kosa ni lake au kajiingiza mwenyewe chini ya gari, utaona lile genge la wajinga wenzake likijazana hapo na makelele kama nyuki bila hata kujua kisa wala chanzo cha tatizo ni laana
Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.
Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini?
Lakini ukweli unaouma ni huu: Hawa jamaa ni malaya wa kutupwa, lakini wake zao huku nyumbani wanaliwa kisawasawa. Wakati wao wapo bize vijiweni kuanzia asubuhi hadi usiku wakipiga umbeya, wananuka vumbi, wanasubiri ofa za elfu moja, na wanakufa hovyo barabarani wakiacha wajane na mayatima, wake zao huko nyumbani wanateseka kwa upweke na njaa.
Unakuta bodaboda anarudi usiku amechoka (kama hajanusurika ajali), ananuka uvundo, mfukoni ana buku tano ya hesabu ya tajiri, kumbe mkewe nyumbani kashatandikwa kote kote na kuachiwa mtaji wa maana na wanaume wanaojielewa na kunukia vizuri. Ni mwendo wa kubadilishana tu; wao wale wa kwetu kwa lifti ya jero, sisi tunalala na hao wake zao wachafu kwa bajeti inayoeleweka!
Hivi hii sekta ya hovyo hovyo kwanini isifutwe tu nchi ipumue? Wamejaza fujo barabarani, vifo visivyo na msingi kila siku, wajane na mayatima kila kona, na upungufu wa akili kwenye jamii.
Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari mruhusika kutapika mapovu
Hili povu itakua bodaboda kakuchapia mkeo na kumtia mimba juu,pole sana.Bodaboda

Mkuu sasa unatuthkana katika jitihada zetu za kupata mkate wa kila siku....mnataka tukaine sasa au?Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.
Ingawa mtoa mada katumia lugha kali lakini kiukweli kuna kitu inabidi kifanyike kuhusu hawa bodaboda. Wapo careless sana na kazi yao ni kifo au ulemavu nje nje. Vilevile ndio vinara wa kutia mimba mabinti wa sekondari.namhurumia sana bi dada atake/ alie olewa na wew,, mtoto wa kiume unachamba namna hii? mwenzako kapata jasho akiwa kwenye utaftaji wa halali ila we unamtukana kuwa ananuka?,, broooo kweny haya maisha hatuwezi kufanana, na kama umeinuliwa wew isiwe sababu ya kuwasema vibaya waliopo chini,,,
hii umezingua mwanetu