😂😂😂😂namhurumia sana bi dada atake/ alie olewa na wew,, mtoto wa kiume unachamba namna hii? mwenzako kapata jasho akiwa kwenye utaftaji wa halali ila we unamtukana kuwa ananuka?,, broooo kweny haya maisha hatuwezi kufanana, na kama umeinuliwa wew isiwe sababu ya kuwasema vibaya waliopo chini,,,
hii umezingua mwanetu
NakubaliiiBoda wengi hawana ustaarabu kabisa wa matumizi ya barabara
Ntakutafuta kesho kabla jogoo hajaweeka. Naona unawashwa washwa sana.Kenge mwenyew
Hawa sio wasafirishaji tena, sasa hivi wamekuwa vibaka wa mchana kweupe. Kazi yao kubwa mjini ni kuvizia wadada wanaotembea kwa miguu au watu wanaoshuka kwenye magari, wanakupita kwa kasi ya ajabu na kukushandua simu au mkoba kisha wanatokomea kusikojulikana. Wamegeuza chombo cha usafiri kuwa vifaa vya ujambaziKichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.
Ulipaswa kushauri namna ya kuwachambua wanaotekeleza vitendo hivyo na kuwadhibiti ila sio kuwajumuisha bodaboda wote na kusema ifutwe sekta nzima.Hawa sio wasafirishaji tena, sasa hivi wamekuwa vibaka wa mchana kweupe. Kazi yao kubwa mjini ni kuvizia wadada wanaotembea kwa miguu au watu wanaoshuka kwenye magari, wanakupita kwa kasi ya ajabu na kukushandua simu au mkoba kisha wanatokomea kusikojulikana. Wamegeuza chombo cha usafiri kuwa vifaa vya ujambazi
Nakujibu kesho nikituliaUlipaswa kushauri namna ya kuwachambua wanaotekeleza vitendo hivyo na kuwadhibiti ila sio kuwajumuisha bodaboda wote na kusema ifutwe sekta nzima.
Hizo sio akili ni Hisia.
Kimsingi ukiona driver pikipiki anafanya hayo ya wizi huyo si bodaboda ni kibaka tu anaetumia pikipiki kutekeleza uhalifu wake.
Umesema kweli boss, sema shida hii ni Tanzania ya CCM, sio kwamba tunapenda kuwa boda, kumbuka zile point za shule, lack of capital, poor government support, poor infrastructure, bad leadership etc, kama wewe umetoboa upo kwenye kundi la wachache, uku mtaani watu ugari tu kuupata ni kazi hali ngumu sana, kama mungu amekupa waombee wengine wapate sio kuwasimanga, a 90% ya bodaboda hawapendi hiyo kazi ni maisha tu yanawapelekea kufanya hiyo kazi na pesa inayopatikana ni ya kujikim tu lakini huwezi pata mtaji ndio mana unaona mtu ana 50yr bado ni boda hivyo tuBodaboda
Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini
Mada
Wakuu, habari za muda huu.
Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio la kila mtu aliyefeli kila idara mtaani na maishani. Hawa jamaa wamefeli kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, na sasa wamehamishia huo ujinga wao barabarani kutusumbua sisi tunaojielewa.
Kwani kila mtu lazima awe bodaboda? Hakuna kazi zingine za kufanya hadi mji mzima ujazane uhuni huu
Ukikutana nao barabarani ni kichefuchefu tupu.
Wanaume wazima wananuka vumbi kuanzia utosini hadi kwenye kucha, nguo zimekauka jasho na mafuta ya petroli hadi zinatoa uvundo usiovumilika. Yaani abiria ukipanda unatamani usishushie pumzi njiani kwa ajili ya harufu mbaya ya miili yao
Ukiacha uchafu wa miili na nguo zao, akili zao sasa ndio sifuri kabisa zina urefu na uwezo sawa na akili za kuku. Kazi yao ni kuona wapi pa kuvuka tu, hawaangalii kushoto wala kulia, hawajali taa nyekundu wala gari kubwa linalokuja kwa kasi. Hawajui sheria, hawajui ustaarabu, na matokeo yake wanajaa barabarani kama nzige huku wakifa kufa hovyo kila uchao kama kuku wenye mdondo.
Ni msiba mzito unaogharimu nguvu kazi, lakini wao hawaoni. Kila siku wanalazwa mochwari na kuacha vilema kwa ukaidi wao wa kijinga wa kugoma kufuata sheria za barabarani. Kwa upumbavu wao huu wa kila siku, wanaishia kuacha wanawake wajane wadogo kabisa mitaani na watoto mayatima wasio na mbele wala nyuma, kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa buku jero.
Kibaya zaidi, wana tabia za ushamba na mshikamano wa kijinga; ukimgusa bodaboda mmoja kwa bahati mbaya, hata kama kosa ni lake au kajiingiza mwenyewe chini ya gari, utaona lile genge la wajinga wenzake likijazana hapo na makelele kama nyuki bila hata kujua kisa wala chanzo cha tatizo ni laana
Inasikitisha zaidi ukizunguka vijiweni unakuta jitu zima, lina miaka 39 au 40 na ushee, lina mvi hadi kwenye kidevu, lakini bado limekalia chuma linasubiri abiria wa buku jero! Jitu limeshakuwa zito barabarani, limechoka, lina wepesi sifuri wa kukwepa hatari, badala ya kufanya mambo ya maana au kurudi kijijini kulima, linaishia kushindana na vijana wa miaka 18 barabarani na kusubiri kufia kwenye lami.
Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini?
Lakini ukweli unaouma ni huu: Hawa jamaa ni malaya wa kutupwa, lakini wake zao huku nyumbani wanaliwa kisawasawa. Wakati wao wapo bize vijiweni kuanzia asubuhi hadi usiku wakipiga umbeya, wananuka vumbi, wanasubiri ofa za elfu moja, na wanakufa hovyo barabarani wakiacha wajane na mayatima, wake zao huko nyumbani wanateseka kwa upweke na njaa.
Unakuta bodaboda anarudi usiku amechoka (kama hajanusurika ajali), ananuka uvundo, mfukoni ana buku tano ya hesabu ya tajiri, kumbe mkewe nyumbani kashatandikwa kote kote na kuachiwa mtaji wa maana na wanaume wanaojielewa na kunukia vizuri. Ni mwendo wa kubadilishana tu; wao wale wa kwetu kwa lifti ya jero, sisi tunalala na hao wake zao wachafu kwa bajeti inayoeleweka!
Hivi hii sekta ya hovyo hovyo kwanini isifutwe tu nchi ipumue? Wamejaza fujo barabarani, vifo visivyo na msingi kila siku, wajane na mayatima kila kona, na upungufu wa akili kwenye jamii.
Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari mruhusika kutapika mapovu
NikweliUmesema kweli boss, sema shida hii ni Tanzania ya CCM, sio kwamba tunapenda kuwa boda, kumbuka file point za shule, lack of capital, poor government support, poor infrastructure, bad leadership etc, kama wewe umetoboa upo kwenye funding la wachache, uku mtaani watu ugari tu kuupata ni kazi hali ngumu sana, kama mungu amekupa waombee wengine wapate sio kuwasimanga, a 90% ya bodaboda hawapendi hiyo kazi ni maisha tu yanawapelekea kufanya hiyo kazi na pesa inayopatikana ni ya kujikim tu uishi lakini huwezi pata mtaji hivyo tu
Boda watambulike na wajisajili kwa vigezo maalumu sio kila anayetaka anachkua boda anapaki kuanza kazi NoWatafutiwe suluhisho, binafs naona bodaboda kufutwa sio sahihi
Wengine wanasema ni laana “ nimepoteza ndugu +marafiki wazidio 7 roho inaniuma sana na wengine wamenusurika ulemavu kama sio akiba na M/Mungu kutia neema zake wangekuwa walemavu
Binafsi naona inawezekana kutafutiwa suluhisho kwani boda boda ni ajira kwa wengi sana na wanaendesha familia zao ila wanapata ajali sana mpaka unaweza kuhofia kutumia usafiri huo
Tuwe wa kweli, nchi yetu rushwa imekithiri ni kubwa mno ndyo inasababisha vyote hivyoBoda watambulike na wajisajili kwa vigezo maalumu sio kila anayetaka anachkua boda anapaki kuanza kazi No