Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

Ulivyojipata basi unawadharau wenzako unajiona upo juuu. Hicho kiti siku Kitakaliwa na mtu mwingine acha dharau
 
Kwa hiyo hamtaki sie back benchers tupate raha ya kugegeda wake za watu na vitoto vya form 4 B
 
Sekta inaanzaje kufutwa wakati ndio mtaji wa fiisiiemu wamechemka kuwapatia watu ajira wamejiajiri wenyewe kisha wao wakawabatiza jina eti maafisa usafirishaji nayo yalivyokua mazuzu yamekubali na yana vaa vizibao kabisa yaani bongo mataahira wengi sana , wenzao wanaenjoy maisha kwenye magari ya milioni mpaka 800 wao wanaua vifua na baridi na kuvunjika miguu na bado wanawashabikia hao wezi. inahitaji akili ndogo sana kujua watanzania wengi ni vilaza tena kwa kiwngo cha lami kabisa.
 
🔥
 
Noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…