Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Atakua ananunua followers kama ndomo anavyonunua views YouTube
 
Atakuwa alikunywa kikombe cha babu. Subiri Mshana Jr aje atueleze ni miti shamba gani inasaidia kupata followers wengi Instagram.
 
Selena kazi zake zinambeba na urembo wake pia....
Jaribu kusikiliza albums zake.. anaimba sana huyu mtoto, kingine mahusiano yake na JB pia urafiki wake wa karibu na Taylor Swift pia umetosha kumuongezea followers kila kukicha
 
I salute you
 
Gomez ana 138.1m

Justine Beiber 100.5m
 
Gomez ana 138.1m

Justine Beiber 100.5m
 
Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.

Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
 
Mwangalie taylor swift anawangap huko Twitter na insta
 
Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.

Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
Ambaye hamfahamu selena gomez na ni kijana wa kisasa basi huyo ni mshamba tu
 
Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.

Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
Ni kweli waafrika hatuko interested kabisa na aina ya muziki wanaoufanya ila kwa wazungu ndio wanawaelewa kinoma hao kina Katty Perry, Taylor Swift ndio maana hata ukiangalia views za video zao si ajabu kuona 1B,2B,3B.... Kwa watu weusi hapa wanaofanya rap/rnb sio rahisi kufikisha hata views 1B, ni wachache kama kina Drake walioweza kufanya hivyo, Wiz Khalifa na 'See u again' sote tunajua kwanini ilifikisha views nyingi vile, ila nyimbo zake binafsi hakuna hata uliowahi kufikia 500Ml.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…