Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Atakua ananunua followers kama ndomo anavyonunua views YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha hahhahaNahisi mleta mada ndiyo Selena Gomez mwenyewe
I salute youHata wewe ukiwa unapost ujinga ujinga mwingi lazima utapata followers wakumwaga tu ...Kim kadarshian alianza kuupata umaarufu wake baada ya kuvujisha sex tape "" aliyokuwa akingonoka "" na Ray J ""....wakati huo Raj J alikuwa ni star mara 10 ya Kim " lakini sasa hivi sidhani kama RAY J huwa anaipata hata salamu ya Kim ""...... systeam ya maisha ya mwanadamu jinsi ilivyowekwa huwa tunapenda kusikia na kufuatilia habari mbaya tu "" ..... jana wachina wametoka kukamilisha vyema kabisa " kufanya project yao ya kilimo cha mpunga jangwani "" lakini hii habari wala haijapewa " nafasi kubwa kwenye media "......so subiri rihana akae uchi ampige busu " mtoto wa trump"au magaidi walipue bomu ufaransa ""
ndio utaujua vyema huu ulimwengu ""....
Asante Boss...I salute you
Gomez ana 138.1mjuzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
Gomez ana 138.1mjuzi tu nilikua nabishana na ndugu zangu wanampenda mno cr7 na wanadai ndio ana followers wengi duniani nikawafungulia simu na kuwaonyesha followers alionao selena walibaki kushika kichwa wenyewe.....
na ndie mtu wa kwanza duniani kufikisha followers 100 halafu anaposti ujinga tu
Weka taylor na KatyGomez ana 138.1m
Justine Beiber 100.5m
Ambaye hamfahamu selena gomez na ni kijana wa kisasa basi huyo ni mshamba tuWanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.
Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
Ni kweli waafrika hatuko interested kabisa na aina ya muziki wanaoufanya ila kwa wazungu ndio wanawaelewa kinoma hao kina Katty Perry, Taylor Swift ndio maana hata ukiangalia views za video zao si ajabu kuona 1B,2B,3B.... Kwa watu weusi hapa wanaofanya rap/rnb sio rahisi kufikisha hata views 1B, ni wachache kama kina Drake walioweza kufanya hivyo, Wiz Khalifa na 'See u again' sote tunajua kwanini ilifikisha views nyingi vile, ila nyimbo zake binafsi hakuna hata uliowahi kufikia 500Ml.Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.
Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.