Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Instagram: Gomez 138M, Ronaldo 128M

Facebook: Gomez 61M, Ronaldo 122M

Conclusion:---- Ronaldo ndiye mtu maarufu zaidi duniani
 
Wakuu,

Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.

Ana nini special kuliko wenzake.
ukiifahamu sababu itakusaidia nini? watanzania nendeni kakamateni ardhi mlime na kufuga kuindokana na umaskini wenu. Ardhi inakwisha wahini.
 
Hata wewe ukiwa unapost ujinga ujinga mwingi lazima utapata followers wakumwaga tu ...Kim kadarshian alianza kuupata umaarufu wake baada ya kuvujisha sex tape "" aliyokuwa akingonoka "" na Ray J ""....wakati huo Raj J alikuwa ni star mara 10 ya Kim " lakini sasa hivi sidhani kama RAY J huwa anaipata hata salamu ya Kim ""...... systeam ya maisha ya mwanadamu jinsi ilivyowekwa huwa tunapenda kusikia na kufuatilia habari mbaya tu "" ..... jana wachina wametoka kukamilisha vyema kabisa " kufanya project yao ya kilimo cha mpunga jangwani "" lakini hii habari wala haijapewa " nafasi kubwa kwenye media "......so subiri rihana akae uchi ampige busu " mtoto wa trump"au magaidi walipue bomu ufaransa ""

ndio utaujua vyema huu ulimwengu ""....
mambo ya MASOGANGE na BELLE 9 [emoji1]
Lakini Selena Gomez kaanza muda sana acting since a child na nyota ya JB ikambeba zaidi, wa mjini wanasemaga 'cute couple' na ukichangia social media imebebwa na vijana wengi wanaoangalia idols wao ambao ni vijana!. Selena ni Fashion Icon kwa vijana wa kileo so kumfatiria ni kitu cha ulazima kwao kuona kavaaje na wao waige ili wapendeze ingawa sometime unaweza kuta figure kama ya 'dada ako'🙂.
Pia ushiriki wa mtu kwenye mambo ya Entertainment unambeba zaidi ya ushiriki kwenye mambo ya Uzalishaji.
Ila narudia dada ako aangalie fashion icon mwingine bana!😉
 
hahaa kweli bele 9 na maso"" ....usijali nitamfikishia Dada yangu huu ujumbe mkuu"" au kama waniruhusu nimtag nitafanya hivyo..maana haiwezekani mtu Mwenye shepu kama ya queen latifa ang'ang'ane kumfuatilia Selena katika mavazi ....ananiaibisha hata Mimi kaka yake aisee...usikute hata wewe ambaye ni shemeji yangu unamuona kama kituko ila kumwambia unaona soooo....
 
Kuwa na followers wengi instagram haimanishi wewe ni maarufu
Shilole ana followers 3M
Busta Rhymes ana followers 800K ina maana shilole ni maarufu kuliko Busta Rhymes..?

JPM ana followers 16K
Adam Mchomvu ana followers 1M
Ina Maana mchomvu ni maarufu kuliko JPM..?
 
Karibu kila msichana mdogo wa Marekani - na hata pengine- anayetaka kuwa na Justin Beiber anamfuatilia Selena Gomez.

Wanataka kujua ana nini cha zaidi kilichomdatisha Justin.
 
Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.

Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
Kweli mkuu mi huwa nasikiliza ngoma za akina Katy, Taylor, Avril Lavigne, Miley Cyrus, Demi Lovato, Jessie J, Kelly Clarkson, Meghan Trainor, Arian, Kesha, Sia na akina Ellie Goudling.... kila mtu huwa ananishangaa. Kuna jamaa akanambia yan mimi nasikiliza nyimbo ambazo hazipigwi kokote kule...
Ila kiukweli hawa watu wanajua, nyimbo zao tamu sana... mimi kwenye Pop hata hunitoi.. nikikuta mtu anapenda pop anakuwa kama ndugu yangu!!
 
hahaa kweli bele 9 na maso"" ....usijali nitamfikishia Dada yangu huu ujumbe mkuu"" au kama waniruhusu nimtag nitafanya hivyo..maana haiwezekani mtu Mwenye shepu kama ya queen latifa ang'ang'ane kumfuatilia Selena katika mavazi ....ananiaibisha hata Mimi kaka yake aisee...usikute hata wewe ambaye ni shemeji yangu unamuona kama kituko ila kumwambia unaona soooo....
hahahh kutag acha tu akipita ataona mwenyewe!!..
 
Back
Top Bottom