Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Taylor 108.7mWeka taylor na Katy
Perry 70.1m
Kim Kardashian 112.1m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taylor 108.7mWeka taylor na Katy
Huenda huyu akawa ndo Selena Gomez mwenyewe ataka tumfolo [emoji2] [emoji2]Kwa sababu wana mfolo
Cr7 128MGomez ana 138.1m
Justine Beiber 100.5m
Sikuwa serious kihivyo mkuu..Definition ya ushamba ni pana sana, tukiamua kila mtu ataje ushamba wa wenzake hili jukwaa litajaa washamba.
Ila kwangu mshamba ni anaye dhani wenzake ni washamba kwa kutojua kile yeye anachokijua.
Sikuwa serious kihivyo mkuu..
Weka na za Twitter mzeebabaTaylor 108.7m
Perry 70.1m
Kim Kardashian 112.1m
Cc screpaWeka na za Twitter mzeebaba
ukiifahamu sababu itakusaidia nini? watanzania nendeni kakamateni ardhi mlime na kufuga kuindokana na umaskini wenu. Ardhi inakwisha wahini.Wakuu,
Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake.
Ana nini special kuliko wenzake.
mambo ya MASOGANGE na BELLE 9 [emoji1]Hata wewe ukiwa unapost ujinga ujinga mwingi lazima utapata followers wakumwaga tu ...Kim kadarshian alianza kuupata umaarufu wake baada ya kuvujisha sex tape "" aliyokuwa akingonoka "" na Ray J ""....wakati huo Raj J alikuwa ni star mara 10 ya Kim " lakini sasa hivi sidhani kama RAY J huwa anaipata hata salamu ya Kim ""...... systeam ya maisha ya mwanadamu jinsi ilivyowekwa huwa tunapenda kusikia na kufuatilia habari mbaya tu "" ..... jana wachina wametoka kukamilisha vyema kabisa " kufanya project yao ya kilimo cha mpunga jangwani "" lakini hii habari wala haijapewa " nafasi kubwa kwenye media "......so subiri rihana akae uchi ampige busu " mtoto wa trump"au magaidi walipue bomu ufaransa ""
ndio utaujua vyema huu ulimwengu ""....
hahaa kweli bele 9 na maso"" ....usijali nitamfikishia Dada yangu huu ujumbe mkuu"" au kama waniruhusu nimtag nitafanya hivyo..maana haiwezekani mtu Mwenye shepu kama ya queen latifa ang'ang'ane kumfuatilia Selena katika mavazi ....ananiaibisha hata Mimi kaka yake aisee...usikute hata wewe ambaye ni shemeji yangu unamuona kama kituko ila kumwambia unaona soooo....mambo ya MASOGANGE na BELLE 9 [emoji1]
Lakini Selena Gomez kaanza muda sana acting since a child na nyota ya JB ikambeba zaidi, wa mjini wanasemaga 'cute couple' na ukichangia social media imebebwa na vijana wengi wanaoangalia idols wao ambao ni vijana!. Selena ni Fashion Icon kwa vijana wa kileo so kumfatiria ni kitu cha ulazima kwao kuona kavaaje na wao waige ili wapendeze ingawa sometime unaweza kuta figure kama ya 'dada ako'🙂.
Pia ushiriki wa mtu kwenye mambo ya Entertainment unambeba zaidi ya ushiriki kwenye mambo ya Uzalishaji.
Ila narudia dada ako aangalie fashion icon mwingine bana!😉
Kweli mkuu mi huwa nasikiliza ngoma za akina Katy, Taylor, Avril Lavigne, Miley Cyrus, Demi Lovato, Jessie J, Kelly Clarkson, Meghan Trainor, Arian, Kesha, Sia na akina Ellie Goudling.... kila mtu huwa ananishangaa. Kuna jamaa akanambia yan mimi nasikiliza nyimbo ambazo hazipigwi kokote kule...Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.
Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
hahahh kutag acha tu akipita ataona mwenyewe!!..hahaa kweli bele 9 na maso"" ....usijali nitamfikishia Dada yangu huu ujumbe mkuu"" au kama waniruhusu nimtag nitafanya hivyo..maana haiwezekani mtu Mwenye shepu kama ya queen latifa ang'ang'ane kumfuatilia Selena katika mavazi ....ananiaibisha hata Mimi kaka yake aisee...usikute hata wewe ambaye ni shemeji yangu unamuona kama kituko ila kumwambia unaona soooo....