Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...
Dua Lipa hiyo sauti yake ya base hatari tupu... kuna ile ngoma ya Martin Garrix Scared to be lonely mle kaua sana...
Huyo Camilla Cabelo toka yupo Fifth Harmorny moto wake ulikuwa hatari, kundi mpaka limetetereka baada ya kuondoka yeye...
Kuna wadada pia wanajiita Little Mix wako poa sana, hii Album yao ya Glory Days hakuna ngoma mbovu hata moja kuanzia Touch, power, shout out to my ex mpaka No more sad song...
Pop tamu aisee.. ambao hawasikilizi naona wanakosa vingi sana...