Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...

Dua Lipa hiyo sauti yake ya base hatari tupu... kuna ile ngoma ya Martin Garrix Scared to be lonely mle kaua sana...

Huyo Camilla Cabelo toka yupo Fifth Harmorny moto wake ulikuwa hatari, kundi mpaka limetetereka baada ya kuondoka yeye...

Kuna wadada pia wanajiita Little Mix wako poa sana, hii Album yao ya Glory Days hakuna ngoma mbovu hata moja kuanzia Touch, power, shout out to my ex mpaka No more sad song...

Pop tamu aisee.. ambao hawasikilizi naona wanakosa vingi sana...
bebe sauti yake tu inanimaliza
 
Ellie ni noma sana kuna goma lake la 'Hanging on' enzo hizo nilikuwa na-dance (shake) na hilo song... That Song ni hatari sana..

usimsahau Carl Rae Japanes

She is Carly Rae Jepsen na song ya Call Me Maybe hahaha the video ilikua awesome.
 
Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...

Dua Lipa hiyo sauti yake ya base hatari tupu... kuna ile ngoma ya Martin Garrix Scared to be lonely mle kaua sana...

Huyo Camilla Cabelo toka yupo Fifth Harmorny moto wake ulikuwa hatari, kundi mpaka limetetereka baada ya kuondoka yeye...

Kuna wadada pia wanajiita Little Mix wako poa sana, hii Album yao ya Glory Days hakuna ngoma mbovu hata moja kuanzia Touch, power, shout out to my ex mpaka No more sad song...

Pop tamu aisee.. ambao hawasikilizi naona wanakosa vingi sana...
Scared to be lonely huo wimbo umenibamba sana hua sichoki kuusikiliza.... msg nzito sauti nzuri.... aisee wenzetu wametuacha mbali sana hasa kwenye mashairi yaliyoshiba.
 
Ellie ni noma sana kuna goma lake la 'Hanging on' enzo hizo nilikuwa na-dance (shake) na hilo song... That Song ni hatari sana..

usimsahau Carl Rae Japanes
Ellie mziki wake unaishi... napenda sana uimbaji wake na mashairi yake.

Yaani mimi ili mziki unibambe hua nasikiliza sana mashairi... ndio maana sipo saana na nyimbo za clubs maana hawana meseji zaidi ya kujisifia na kutukana. (wakina Lil Wayne sijui Nick minaji seriously am not a fan)
 
Selena kazi zake zinambeba na urembo wake pia....
Jaribu kusikiliza albums zake.. anaimba sana huyu mtoto, kingine mahusiano yake na JB pia urafiki wake wa karibu na Taylor Swift pia umetosha kumuongezea followers kila kukicha
Plus tangazo lake la coke,ambayo ukawa picha yake Iwe ndio picha ya kwanza kufikisha likes Million 10 Instagram.
 
Wanaomfuatilia Selena, Taylor, Ariana au Katty ni watu wa dunia ya kwanza sana kwasababu aina ya muziki wanaoufanya waafrika wengi hawaujui au kuupenda. Na ndo maana huwezi sikia wanafanya show Afrika.

Kama humfahamu haimaanishi hafahamiki.
Mimi mwenyewe ringtone yangu ni ya selena Gomez-A year without rain,sio waafrika wote,sema majirani zako ..
 
Ellie mziki wake unaishi... napenda sana uimbaji wake na mashairi yake.

Yaani mimi ili mziki unibambe hua nasikiliza sana mashairi... ndio maana sipo saana na nyimbo za clubs maana hawana meseji zaidi ya kujisifia na kutukana. (wakina Lil Wayne sijui Nick minaji seriously am not a fan)

Hizo hip hop nazipenda sana kama nikiwa na stress coz zinanipeleka sehemu tofauti sana, huyu Drake ndio ananimaliza hatarii kuna ile ngoma yake mpya GOD PLAN naipenda sana
 
Hip hop ndio mpango mzima. Sasa hivi ni mwendo wa. Chun li tu...
 
Aisee Bebe Rexha ananikosha sana [emoji1] Nimemfollow fb.. kila siku lazima nimuone ndo nafsi inafarijika, I got U na The Way I are (I wanna dance somebody) aloimba na lil wayne zinanimaliza kabisa... ana album inaitwa Expectations sijui kashairelease...

Dua Lipa hiyo sauti yake ya base hatari tupu... kuna ile ngoma ya Martin Garrix Scared to be lonely mle kaua sana...

Huyo Camilla Cabelo toka yupo Fifth Harmorny moto wake ulikuwa hatari, kundi mpaka limetetereka baada ya kuondoka yeye...

Kuna wadada pia wanajiita Little Mix wako poa sana, hii Album yao ya Glory Days hakuna ngoma mbovu hata moja kuanzia Touch, power, shout out to my ex mpaka No more sad song...

Pop tamu aisee.. ambao hawasikilizi naona wanakosa vingi sana...
Sure mkuu mtu unaenjoy music..kumbe na wewe unawaelewa kama mimi.
 
Ellie mziki wake unaishi... napenda sana uimbaji wake na mashairi yake.

Yaani mimi ili mziki unibambe hua nasikiliza sana mashairi... ndio maana sipo saana na nyimbo za clubs maana hawana meseji zaidi ya kujisifia na kutukana. (wakina Lil Wayne sijui Nick minaji seriously am not a fan)
kweli mkuu mziki wa Ellie unaishi mfano songs zake kama:-
Ellie na Calvin Harris- outside
Ellie na Calvin Harris- I need your love
Ellie- Burn
Ellie- Lights
Ellie- Hanging on
 
Kuongezea kutoka kwenye list yako..mimi kwa sasa nawasikiliza sana dua lipa,camilla cabello,bebe rexha,annie marrie..ama kwa hakika naenjoy ngoma zao
na Calvin Harris
 
Back
Top Bottom