My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Honestly Wakat najoin Humu jamii forum nilijuaga ni Mtandaoni wa Great thinkers, watu wenye maono, Wasomi,nkMajibu ya Jf kuna muda yanachekesha sana.... Mtu anaweza akaanza kujibu mada kwa mbwembwe tena na kicheko juu kumbe hana analolijua juu ya swali lililoulizwa.
Lakini unfortunately ninacho kiona humu Sometimes kinasikitisha Sana, Sijui ni Stress Au ni nini hasa