Kwanini Serekali inakopa kama inaweza ku-print noti mpya

Kwanini Serekali inakopa kama inaweza ku-print noti mpya

Majibu ya Jf kuna muda yanachekesha sana.... Mtu anaweza akaanza kujibu mada kwa mbwembwe tena na kicheko juu kumbe hana analolijua juu ya swali lililoulizwa.
Honestly Wakat najoin Humu jamii forum nilijuaga ni Mtandaoni wa Great thinkers, watu wenye maono, Wasomi,nk
Lakini unfortunately ninacho kiona humu Sometimes kinasikitisha Sana, Sijui ni Stress Au ni nini hasa
 
Okeeey..

Kwahiyo suala LA kuchapisha noti ndio inashusha thamanicha pesa? Je hii ndio sababu shilingi 5 (dala) ya leo haina thamani tena.

Asante kwa maelezo yenye tija

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchapisha pesa hakushushi thamani ya PESA moja kwa moja.Unapoandika Cheki unakuwa umechapisha Pesa tena kwa kuamua uandike kiasi gani kwa ajili ya nani.Kinachoshusha au kupandisha thamani ya PESA ni uzalishaji hasa EXPORT PRODUCTION.Kwa lugha nyingine ni kwamba kama nchi haizalishi bidhaa za kutosha kuuza ng'ambo basi uwezo wake wa kupata pesa za kigeni unakuwa ni mdogo na hivyo basi unapotaka kuagiza bidhaa nje ya nchi itabidi ununue pesa ya kigeni.Sasa kama Pesa yako haiexport ina maana haitakiwi so hakuna atakayeinunua kwa hio bei yake itashuka na kuwa cheap yaani utanunua dola moja kwa 2500.

Vile vile kuna mambo SDR ambayo yako chini ya IMF ambayo nayo yanatumika katika kuamua thamni ya hela ya nchi.Kwa hivyo basi ili kupandisha Pesa yetu thamni lazima tuzalishe na tuuze Ng'ambo kwa wingi ili watu wawe wanatafuta PESA yetu kwa nguvu na hivi ipande bei.

Jambo jingine la muhimu ni kufahamu kwamba kuna kitu kinaitwa mfumuko wa bei ambacho hasa ndo kinachoharibu sarafu ya nchi.Mfano Mafuta yakipanda bei katika soko la dunia basi utajikuta unapata effect(trickle down effect)kila mahali.Serikali ikiongeza viwango vya kodi au ikibana wafanyabiashara sana mfano kama kipindi hiki wanavyobanwa walipe kodi efect yake unaiona kwenye sarafu.

Hivyo basi serikali inatakiwa kutumia mbinu mbalimbali kulinda sarafu ikiwa ni pamoja na kuhamasisha export,kuwa na sera nzuri za fedha,kuwa na utulivu wa kisera na kisheria ili kuvutia uwekezaji wa nje(FDI) na kupunguza viwango vya kodi.
 
Unapoandika cheki hauchapishi pesa bali unafanya transfer ya pesa zilizopo.

Namba moja sio kweli,usipofanya kazi huwezi kuzipata hizo pesa hata kama zitakuwa ziko nyingi kiasi gani,njia pekee ya kuzipata ni lazima ufanye kazi.
Namba mbili sio kweli,uzalishaji na supply ya huduma na bidhaa haiwezi kupungua kwa sababu ya wingi wa pesa.
Kwa jibu simple ni kuwa
Kama serikali ikiprint hela nyingi na hizi hela zikawekwa kwenye mzunguko basi kuna madhara kadhaa yataukumba uchumi kwa ujumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja.
1. Production itaathirika; kila mtu si ana hela bwana nani akajichoshe kufanya kazi
2. Kutokana na saba bu hiyo hapo juu itapelekea supply ya bidhaa sokoni kupungua sana hivyo bei ya bidhaa itapanda maradufu kwasababu demand itakuwa ni kubwa kuliko supply
3. Kutokana na sababu hiyo hapo juu itapelekea kuwa na inflation kubwa sana, hela unayo lakini aikidhi kununua ha mchele kilo moja.
4. Tutegemee mabenki mengi kufilisika; mabenki mengi yanategemea zaidi kutoa loans ili yaweze kujiendesha, nani akakope wakati kila mtu ana hela mtaani.
5. Asset, bonds na stock kupoteza thamani yake; mfano nyumba iliyokuwa inauzwa million 50 kukikwa na hela nyingi mtaani hii nyumba itakuwa inauzwa million 100 wakati hiyo siyo thamani yake halisi.
Hizo ni athari chache sana kati ya nyingine nyingi
Serikali ikikopa maana yake lazima italipa hiyo hela, so hela ya kulipa itatoka kwenye hela ambazo zipo kwenye mzunguko sema itakuwa imeacha faida kidogo kwenye uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said. Kwa mfano let's say serikali inadaiwa bilioni 100, deni kutoka nje ya nchi, Serikali akaamua kuchapisha pesa billioni 100 ikalipa hilo deni juu kwa juu, bila hiyo pesa kuingia kwenye mzunguko wetu wa pesa ina madhara yoyote kiuchumi?

Sent using Fly in any Weather.
My friend, ukichapisha bilioni 100 pesa ya Tanzania hauwezi kuitumia kulipa deni la nje maana pesa zinazotambulika ni Dolla, Pound labda na euro katika biashara za kimataifa, hivyo ni lazima ununue pesa za kigeni ili ndio uzitumie kulipa hilo deni, sasa unaponunua pesa za kigeni kwa wingi namna hiyo katika soko la fedha la ndani maana yake demand ya fedha za kigeni inakuwa juu na consequently thamani ya pesa ya kigeni against shillingi inapanda maana yake ndio thamani ya shillingi inashuka (inflation), na huo mchezo ukiendelea hivyo wa kuchapisha noti kulipa madeni ya nje ndio unakuja kukuta dollar moja ya marekani inauzwa kwa shillingi laki moja ya kiTanzania kutoka 2300, get it? Na kwa mchezo huo mchafu utakuta mwananchi aliyekuwa na shilingi milioni 10 benki ambayo awali ingetosha kununua IST anakuwa hana tena uwezo wa kununua IST bali boxer, na kwa njia hii ndio tunasema mwanachi huyu amekopwa pesa na serikali, na hadi pale serikali itakapomlipa pesa iliyomkopa, milioni 10 yake haitakuwa na nguvu ya kununua IST bali boxer used.
 
Thamani ya shilingi kushuka sio
inflation ,ni devaluation

Jaman Tanzania haina uwezo wa kuprint pesa, technology ndogo

Kuna nchi ambazo zinajitengenezea pesa kama USA, wanaviwanda vya kutengeneza dollar, uswiz, german kote kuna viwanda

Nchi nyingi za Afrika unakuta ndo zinatoa tenda kuprint na kutengeneza pesa, kwa kuangalia mzunguko wa pesa hiyo kwenye soko la dunia i. e money circulation ,
Export and import

Kupitia WB, fiscal and monetary policy zina control much printint of currency within the country, i. e kama nchi haina
mzunguko wa fedha dunian hauwezi kuprint pesa nying no matter how, ili kupunguza mfumko wa bei,
inflation katika nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ina maana hata economics ya form 1 and 2 ilikupita.. Jaribu bas hata kugoogle topic ya supply and demand kuna kitu utajifunza
Hivi mkuu, kwa ngszi ya FI na FII kuna somo linitwa economics?
 
Thamani ya shilingi kushuka sio
inflation ,ni devaluation

Jaman Tanzania haina uwezo wa kuprint pesa, technology ndogo

Kuna nchi ambazo zinajitengenezea pesa kama USA, wanaviwanda vya kutengeneza dollar, uswiz, german kote kuna viwanda

Nchi nyingi za Afrika unakuta ndo zinatoa tenda kuprint na kutengeneza pesa, kwa kuangalia mzunguko wa pesa hiyo kwenye soko la dunia i. e money circulation ,
Export and import

Kupitia WB, fiscal and monetary policy zina control much printint of currency within the country, i. e kama nchi haina
mzunguko wa fedha dunian hauwezi kuprint pesa nying no matter how, ili kupunguza mfumko wa bei,
inflation katika nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa, hivi pesa inaweza ikainflate bila kushuka thamani? Yaani pesa inaweza ikaongezeka thamani halafu patokee inflation? Halafu, mimi nikisema nimejenga nyumba Chamazi inamaana nilienda mimi mwenyewe nikabeba tofali kichawani na kushika mwiko na kono mbao na kuijenga mimi mwenyewe au nimelipa tu mafundi? Wewe ni taahira au umejaza minyoo kichwani? Tukisema Tanzania inachapisha hela ni lazima sisi ndio tuwe na hizo mashine za kuchapisha? Hatuwezi kulipa watu pesa watufanyie hiyo kazi? Bogus at a heinous level..!!!! Na hakuna wa kupangia mtu kiwango cha pesa cha kuchapisha, muulize Idd amin dada kama huamini...
 
Habari zenu. Wanauchumi na wadau wengine wote humu ndani..

Naleta mada hii kwa misingi ya kutaka kuelewa, kama nchi inaweza Ku print noti mpya. Kwanini inakopa pesa?

Kwanini ina madeni kama uwezo wa kuyalipa na pesa mpya ipo

Kwa wenye uelewa. Tusaidiane tafadhali.
Mnisaidie concept ya "inflation" piaView attachment 1400170

Sent using Jamii Forums mobile app

**Update*. .

Asanteni sana wachumi na wadau wote kwa kutoa Elimu.

Nina amini wapo wengi waliojifunza kupitia swali langu la " Kipuuzi" ( kama baadhi walivyo chukulia)

Ila nimejifunza mengi.

Amani iwe Nanyi.

"SANITIZE"..
Chukulia mfano huu...

Wewe una Debe la karanga unaliuza kwa kutaka kubadilishana na debe mbili za mahindi, anakuja mtu anataka hizo karanga lakini hana mahindi, anakwambia nitakupa hii dhamana ya maandishi ili unipe hilo debe la karanga na akitokea anaeuza mahindi unaweza mpa hii dhamana kwani imedhaminiwa na fulani. Utapokea hiyo dhamana au utabaki na karanga zako zikuharibikie?
A
Unaamua kulipokea, wakati umebaki na hiyo dhamana, muuza mahindi kaja unampa hiyo dhamana ili akupe debe mbili za mahindi anakwambia hizo dhamana zipo nyingi na mpaka apate mbili kama hizo ndio akuwachie mahindi kwani moja hiyo haitamtosha kwenda kuchukulia mbaazi.

Na wewe una moja tu, utafanya nini?
 
Namba moja sio kweli,usipofanya kazi huwezi kuzipata hizo pesa hata kama zitakuwa ziko nyingi kiasi gani,njia pekee ya kuzipata ni lazima ufanye kazi.
Namba mbili sio kweli,uzalishaji na supply ya huduma na bidhaa haiwezi kupungua kwa sababu ya wingi wa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Production and supply of goods itaathirika pale kutakapokuwa hela nyingi sana au hela kidogo sana kwenye uchumi wa nchi.
Kasome economics ya advance kwenye topic ya MONEY AND MONETARY POLICY, siwezi nikakuelezea kila kitu hapa.
Uchumi una principles zake mkuu, kwenye uchumi hamna hisia
 
Pesa sio yale makaratasi,Nithamani.Ndio maana sio lazima ulipwe cash,unaweza lipwa kwa checki,kwa bank trnasfer kwa mobile money etc kwa sababu ya value.So kwa lugha nyingine serikali hata ikichapa note lazima value iwe created ili kuwe na exchange.

Sasa kwa nini serikali inakopa badala ya kuchapa noti?Kwa sababu serikali haina uwezo wa kucreate value ya kutosha.Serikali inatengeneza value kwa kukusanya kodi toka kwa wananchi na hivyo kuweza kulipa gharama za kuendesha nchi.Ili wananchi walipe kodi lazima wazalishe value ama kwa kilimo,biashara au hata miamala na katika kuexchange value serikali inatoza hapo kodi kidogo ili iweze kujiendesha.Sasa iwapo serikali haiwezi kukusanya kodi ya kutosha kwa sababu yoyte ile basi inabidi itafuta watu ambao wameweze kucreate value ya ziada ambayo wameweka kama akiba au uwekezaji na kuwakopa ila watumie value hio kufanya mambo yake huku wakikusanya kodi kwa ajili ya kulipa deni.

Hivyo basi kuchapa noti bila kucreate value hakuwezi kutatua tatizo la serikali kukosa Pesa bali italiongoza kwa kuondoa incentive ambayo iatapunguza uzalishaji na hivyo uchumi kudorora.

Nimejaribu kutumia lugha nyepesi kama nimekosea kidogo nitwajibika.
Vipi Serikali inapopokea pesa za msaada. Mabilioni ya Pesa au Trillions of money. Je, pesa hizo nazo huoni zinaweza kusababisha mdororo wa kiuchumi kwasababu Serikali imezipata bwerere bila ya Ku_create value? Na Je, pesa hizo za msaada zinatofauti gani na kuchapisha pesa mpya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa, hivi pesa inaweza ikainflate bila kushuka thamani? Yaani pesa inaweza ikaongezeka thamani halafu patokee inflation? Halafu, mimi nikisema nimejenga nyumba Chamazi inamaana nilienda mimi mwenyewe nikabeba tofali kichawani na kushika mwiko na kono mbao na kuijenga mimi mwenyewe au nimelipa tu mafundi? Wewe ni taahira au umejaza minyoo kichwani? Tukisema Tanzania inachapisha hela ni lazima sisi ndio tuwe na hizo mashine za kuchapisha? Hatuwezi kulipa watu pesa watufanyie hiyo kazi? Bogus at a heinous level..!!!! Na hakuna wa kupangia mtu kiwango cha pesa cha kuchapisha, muulize Idd amin dada kama huamini...
I cant argue with stupid person,
hujitambui you cant even differentiate btn

Inflation and devaluation

Hiv economic umsomea chin ya kitanda fuvcken bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I cant argue with stupid person,
hujitambui you cant even differentiate btn

Inflation and devaluation

Hiv economic umsomea chin ya kitanda fuvcken bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid babaako, nimekuuliza swali, pesa inaweza ikawa inflated bila kushuka thamani? Na je pesa haiwezi ikawa devalued for the sake of simplicity, mfano kuna nchi ziliamu kuondoa masifuri mbele ya noti zake ila thamani inabaki ile ile, mfano unapeleka noti ya 10,000/= halafu unapewa shs.100/=, na ile shs.100/= inakuwa na nguvu ya manunuzi sawa na ile shs.10,000/= ya awali, ila tu masifuri mawili yameondolewa mbele, thats devaluation, ni declaration ya serikali kupunguza hayo masifuri inafanyika. Sasa utasemaje pesa kushuka thamani ni kuwa devalued na sio kuwa inflated? Yaani leo mkate unauzwa 1,000/= halafu kesho mkate unauzwa 10,000/= utasema hiyo si inflation bali ni devaluation? Are you insane???!!!!
Halafu badala ya kuleta hiyo mipasho ya kixhoga xhoga tuambie wewe kushuka kwa thamani ya pesa dhidi ya pesa zingine dorminant katika soko la kubadilisha pesa kama si inflation, then inflation ni nini? Jibu kwa kiswahili ili tuelewane vizuri
 
Exactly, nilitaka uondoe ile presumption inayojengeka kwamba hawaprint pesa kama namna moja wapo ya kukopa, pia nilitaka ufahamu kwamba hata kuchapisha pesa ni kukopa pia, means unawakopa wananchi wako, na usipowalipa in time basi bidhaa hupanda bei as a means of balancing the accounts
Kivipi bei kupanda inabalance account kama wakopeshwaji wasipolipwa???
 
Pesa sio yale makaratasi,Nithamani.Ndio maana sio lazima ulipwe cash,unaweza lipwa kwa checki,kwa bank trnasfer kwa mobile money etc kwa sababu ya value.So kwa lugha nyingine serikali hata ikichapa note lazima value iwe created ili kuwe na exchange.

Sasa kwa nini serikali inakopa badala ya kuchapa noti?Kwa sababu serikali haina uwezo wa kucreate value ya kutosha.Serikali inatengeneza value kwa kukusanya kodi toka kwa wananchi na hivyo kuweza kulipa gharama za kuendesha nchi.Ili wananchi walipe kodi lazima wazalishe value ama kwa kilimo,biashara au hata miamala na katika kuexchange value serikali inatoza hapo kodi kidogo ili iweze kujiendesha.Sasa iwapo serikali haiwezi kukusanya kodi ya kutosha kwa sababu yoyte ile basi inabidi itafuta watu ambao wameweze kucreate value ya ziada ambayo wameweka kama akiba au uwekezaji na kuwakopa ila watumie value hio kufanya mambo yake huku wakikusanya kodi kwa ajili ya kulipa deni.

Hivyo basi kuchapa noti bila kucreate value hakuwezi kutatua tatizo la serikali kukosa Pesa bali italiongoza kwa kuondoa incentive ambayo iatapunguza uzalishaji na hivyo uchumi kudorora.

Nimejaribu kutumia lugha nyepesi kama nimekosea kidogo nitwajibika.
Umejibu kitaaluma sisi ambao hatujui uchumi umetuacha,mimi nipe jibu ni kwa namna gani mikopo inacreate value??[emoji120]
 
Kivipi bei kupanda inabalance account kama wakopeshwaji wasipolipwa???
Tuchukulie intotal Tanzania yote ina noti za jumla ya shs. 1,000/= (just assume), na jumla ya ukwasi wote ni machungwa 10 tu. Kwahiyo chungwa moja linawakilisha shs.100/=, kwahiyo kwa machungwa 10 ndio uchumi wote unakuwa 100/= x 10 jumla ndio hizo noti jumla shs.1,000/=. Sasa tuseme serikali ikaamua tu kuchapisha noti za jumla ya shs.500/=, kwahiyo sasa jumla ya shs.1,500/= kwenye mzunguko zinakimbiza machungwa 10 tu sokoni, hivyo automatically price ya chungwa moja itapanda hadi 150/=, hivyo kwa machungwa 10 ndio jumla ya shs.1,500/= kwenye mzunguko. Kwa maana hiyo kama wewe ulikuwa na shs. 200/= kwenye akaunti yako ulikuwa unaweza kununua machungwa mawili, lakini baada ya serikali kukukopa kwa sasa unaweza kununua chungwa moja tu na unabaki nachenji kidogo (50/=) ambayo haiwezi kununua chungwa la pili, hadi serikali itakapokulipa pungifu inayohitajika kununua chungwa la pili (100/=) ndio utaweza kupata machungwa mawili kama awali, isipokulipa basi bei itabaki juu hapo hapo.
 
Umejibu kitaaluma sisi ambao hatujui uchumi umetuacha,mimi nipe jibu ni kwa namna gani mikopo inacreate value??[emoji120]
Mkopo maana yake kuna mtu ametoa katika akiba yake akakupatia,Huyu anayekukopesha alifanya muhamala akapata kipato ni ile ziada ndo kakukopesha.Angeweza aktumia hio ziada kuwekeza kivyovyote vile lakini akakuposha.So kwa kuwa amaekukopesha amekupa wewe value aliyocreate uitumie na utakapocreate value then wewe umlipe pamoja na riba.

Soa mikopo inaongeza cash flow na kuongeza liabilty katika vitabu vya serikali.Unposikia wanasema deni bado ni stahimilivu inamaana kwamba taifa bado lina ukwasi kwa kutumia hesabu za GDP yaani pato la taifa.Ndo maana unasikia kwamba serikali imekopa 50% ya pato la taifa maana yake ni kwamba pato la taifa lote ikiwa ni pamoja na la kwako linatumika kuangalia iwapo taifa lina create value ya kutosha.Ninaposema VALUE na maanisha bidhaa au huduma yoyote ambayo inaweza kuuzwa au kununuliwa(Kuwa exchanged)
 
Back
Top Bottom