Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, najua unaongeaga ukweli mtani, na huu ndo ukweli[emoji1] [emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] naona unataka kunilisha maneno Mtani. [emoji28][emoji28]
Usiku ?.. kwa viwanja gani Tulivyonavyo tucheze ligi usiku?Ndiyo! Siku za kazi zipigwe usiku!
Mla ni mla leo mla jana kalani?Upuuzi..bingwa Mara nyingi ndio mfalme..nimekupiga mechi nyingi,nimekufunga magoli mengi..Yanga imeleta uhuru
Mshaanza kuwashwaMara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!
Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
uchawi wa kiwango cha lamiMara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!
Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
Chief hili duka la huyu sister lipo maeneo gani hapa mjini na linaitwaje??Mtoto Vicky
Kuna pato la Taifa litapatikana mfano makato ya uwanja,na club itapata fedha kwa hiyo ni siku ya uzalishaji [emoji106]Nahitaji majibu ya Mambosasa!
jezi nyekundu dah una roho ngumu wewe hiyo rangi siyo kabisaAhahahaha malizia kabsa kua jezi ya simba nzuri, hadi ukweni unaenda nayo
Mtani Unashangaa Leo Unafikiria Jumamosi & JumapiliUnajua ni kwa kiasi gani serikali imepata hasara kwa kutwa nzima ya leo?!
Tanzania Ni PazuriSerikali iliyo na mipango fake!😭!
zamani nilikuwa nadhani kuwa mchawi lazima ubebe tunguri,hirizi,usinga na vikolombwezo vingine,kumbe unaweza kuwa na smartphone na bando lako au freebasics,ukaanza kuwanga.mlikuja na gia ya kilomoni imefeli,sasa mmegeukia Simba day!!kuna chawi lenzako humu humu,usiku kucha linaanzisha nyuzi tu mara shiboub,mara wabrazili,sijui tumepigwa,utadhani hela katoa baba yake☹️☹️☹️☹️Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!
Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
Vivy's point kinondoni mnyanyaChief hili duka la huyu sister lipo maeneo gani hapa mjini na linaitwaje??