Kwanini serikali haipigi marufuku sherehe za Simba day saa za kazi?!

Rais Simba
Waziri mkuu Simba
Waziri wa michezo Simba
Spika wa Bunge Simba

Hapo unategemea nini mkuu
 
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!

Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
Mshaanza kuwashwa
FB_IMG_1551011926211.jpeg
 
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!

Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
uchawi wa kiwango cha lami
 
Watumishi wote waliopo uwanjani muda huu wa kazi wanatakiwa wajitetee kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu ikiwa na pamoja na kufukuzwa kazi kwa kutofika sehemu zao za kazi!

Mkataa pema pabaya panamuita!
 
Ww ni chura huna lolote la maana kila siku unafanya kazi kwa miaka yote hiyo umefika wwpi mbona bado mna shida mpaka unapolala
Unajua ni kwa kiasi gani serikali imepata hasara kwa kutwa nzima ya leo?!
 
Leo Timu Kubwa Sana Nchini Tanzania Itakuwa Ikiwatambulisha Wachezaji Wake.
Yaani Uwanja Tayari Umejaa Long Time
 
Unajua ni kwa kiasi gani serikali imepata hasara kwa kutwa nzima ya leo?!
Mtani Unashangaa Leo Unafikiria Jumamosi & Jumapili
Serikali Huwa Haifanyi Kazi Pia Siku Maalum Zilizotengwa Kama Sikukuu Za Kitaifa Na "Simba Day"
Kwakuwa
Serikali Ni Tajiri
 
Serikali iliyo na mipango fake!😭!
 
Umeiona Simba, Timu Kubwa Sana Tanzania
Timu Ya Taifa La Tanzania
 
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!

Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
zamani nilikuwa nadhani kuwa mchawi lazima ubebe tunguri,hirizi,usinga na vikolombwezo vingine,kumbe unaweza kuwa na smartphone na bando lako au freebasics,ukaanza kuwanga.mlikuja na gia ya kilomoni imefeli,sasa mmegeukia Simba day!!kuna chawi lenzako humu humu,usiku kucha linaanzisha nyuzi tu mara shiboub,mara wabrazili,sijui tumepigwa,utadhani hela katoa baba yake☹️☹️☹️☹️
 
Back
Top Bottom