Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Vs Automobile engineering.Watu wa mechanical engineering wanahitajika
Bei ya gari china hazifiki hata 250 ila bongo huku wakadai ni mil 500+Bei ni rahisi,
Cummins ya marekeni warant ni 5 years ile ndio Cummins original zipo mpaka scania zina engine yao iliyoundwa na Cummins ila Cummins ya china ni formula wanatumia kuundia zile zao hazidumu warant ni 1 year only.Ebu weka technical performance/specifications za engine hizo!
Cummins is an American Fortune 500 corporation that designs, manufactures, and distributes engines, filtration, and power generation products. Wikipedia
Stock price: CMI (NYSE) US$172.17 -1.87 (-1.07%)
Headquarters: Columbus, Indiana, United States
Number of employees: ~58,600 (2018)
Founded: 1919, Columbus, Indiana, United States
Subsidiaries: Cummins Filtration Inc, Hydrogenics, MORE
Founders: Clessie Cummins, William Glanton Irwin
Asante kwa elimu!, nilitaka kushangaa USA watengeneze takataka kma zile! Kubukumbu zangu zinanieleza CUMMINS ni engine bora kwa experience yangu ya generators!Cummins ya marekeni warant ni 5 years ile ndio Cummins original zipo mpaka scania zina engine yao iliyoundwa na Cummins ila Cummins ya china ni formula wanatumia kuundia zile zao hazidumu warant ni 1 year only.
Mkuu hao ZF ni wajerumani, wanadili na utengenezaji wa gearbox za magari,mitambo na Meli.Cummins ya marekeni warant ni 5 years ile ndio Cummins original zipo mpaka scania zina engine yao iliyoundwa na Cummins ila Cummins ya china ni formula wanatumia kuundia zile zao hazidumu warant ni 1 year only.
Hata geabox wanatumia ZF yao ya kucopy formula ambayo inaendana na ZF ya muitaliano mwenye ZF original unaipata kwenye SCANIA BUS, NISSAN DIESEL CB series mabasi ya MAN nk ila ya kichina miezi 6 tuu inaanza kumiss