Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

Cummins ni engine ya kimarekani ni engine inayotumika sana kwenye shughuli mbali mbali huko Marekani na kwingineko .Lakini Engine katika mabasi ya mwendokasi ni CUMMINS made in China,hatujui kama genuine au fake engine.

Engine nazo zina maintenance procedures, Planned Maintenance, Aina ya mafuta na oil kama ni compatible, usafi, ujuzi n.k
Sasa hivi imejulikana kuwa ni Fake
 
Bila shaka mleta mada hana anachokijua hizo engine za cummins zipo kwenye Magenerator , hadi meli pia service kit zake ni ghali si mchezo zinaamzia $12,000-15,000 kuna minor service ki na major service kit wewe google tu hapo ujionee
Ukisoma hiki ulichoandika Sasa hivi unajisikiaje? Mabasi kibao yamesimama
 
Back
Top Bottom